LUTULWITU
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 584
- 983
Samahanai mkuu,Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Hii low IQ ni tafiti au takwimu za Ofisi ya Taifa ya Takwimu?