Wewe ni MPUMBAVU ambaye unadhani aliyoyaandika Erick Kabendera ni ya UWONGO.Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Nadhani angeleta uthibitisho wa picha ya tukio tungemuamini lakini maandishi tunamuona tapeli inabidi ashugulikiwekama kaongea uongo mngeleta mrejesho kwamba jamaa yuko wapi
We mjinga mwambieni huyo boya alete picha za tukio sio maandishi hata chizi anaweza kuandika sisi sio wajinga wa kututungia uongo Ili auze kitabu kitadoda halafu we ni mbumbumbu cheti feki lazima umchukie jeshi kama madhambi yenyewe ni kuwafuchua nyie mbumbumbu wenye vyeti feki basi acha afe nazo sababu ni shujaaWewe ni MPUMBAVU ambaye unadhani aliyoyaandika Erick Kabendera ni ya UWONGO.
Magufuli alikufa kwa madhambi aliyowatendea Watanzania
Mwanangu una haha kinoma na kitabu cha kabendera, amepiga kwenye mshono ama sio?Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
mh usipende sana mtu kushughulikiwaNadhani angeleta uthibitisho wa picha ya tukio tungemuamini lakini maandishi tunamuona tapeli inabidi ashugulikiwe
Ndo madhara ya serikali isiyowajibika. Serikali ilikuwa na wajibu wa kuchunguza halafu ikatuletea report alipo saanane.Wewe umejuaje kama kafa leta uthibitisho
Wewe ni MPUMBAVU tayari kama unaamini kuwa picha tu ndiyo ushahidi pekee wa kumtia mtu hatiani.We mjinga mwambieni huyo boya alete picha za tukio sio maandishi hata chizi anaweza kuandika sisi sio wajinga wa kututungia uongo Ili auze kitabu kitadoda
Wewe ni wakizamani hujaelimika kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.Tanzania Kwa wajinga kama hao hamnaga sheria
Ukweli ni kwamba bene sanane alipotea baada ya kuwa anahoji PHD ya Magubeli . Na watu wengi walio kuwa wanampiga magufuli walipotea. Na hakuna aliye chuguza wala hakuna aliye kamatwa wala hakuna aliye patikana. Sasa raisi anakwepaji kuhusika hapo.Ukweli Gani kuandika hata Mimi naweza kuamka asubuhi nikaandika hivi unaakili timamu kweli alete picha za tukio ndio tutaamini ila sio maandishi
Ndio nyie aliowalenga kabendera Ili apige pesa maisha ni akili mingo dhidi ya wajinga wajinga ndio waliwao kanunue kitabu kimetoka kipo amazonNdo madhara ya serikali isiyowajibika. Serikali ilikuwa na wajibu wa kuchunguza halafu ikatuletea report alipo saanane.
Sasa kwa kuwa serikali imekaa kimya! Mimi naenda na kabendera.
We akili huna hayo ni mawazo Kwa unavyoonaWewe ni wakizamani hujaelimika kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.
Unataka nchi iongozwe na hisia sio sheria..
Hufai kuwa hata balozi wa nyumba 10
Kumbe alichoandika kinaweza kuwa cha kweli. Kama vyombo vya haki na sheria vipo, kwa nini mnataka ashughulikiwe bila kufuata utaratibu wa kisheria? Au sheria na haki mnazo ninyi tu walamba asali?Huyo Hana haha ya kupelekwa mahakamani ni wa kushugulikiwa tu Ili iwe funzo Kwa viherehere
Kabendera ni mmeo?Mwanangu una haha kinoma na kitabu cha kabendera, amepiga kwenye mshono ama sio?
Huyo mjinga mmoja tu anaetafuta kiki ataipataKumbe alichoandika kinaweza kuwa cha kweli. Kama vyombo vya haki na sheria vipo, kwa nini mnataka ashughulikiwe bila kufuata utaratibu wa kisheria? Au sheria na haki mnazo ninyi tu walamba asali?
wewe ni hujaelimika na hujui nini maana uongozi wa sheria ..We akili huna hayo ni mawazo Kwa unavyoona
Ajabu umekujaa kucomenti Kwa mtu asielimika ujioni kama mbumbumbuwewe ni hujaelimika na hujui nini maana uongozi wa sheria ..
Mdogo mdogo kichaa kinaanza kukupanda.Kabendera ni mmeo?
Nikisema ndio itabadili context ya kitabu unacholia nacho?Kabendera ni mmeo?
SijuiNikisema ndio itabadili context ya kitabu unacholia nacho?
Ajabu unakomenti Kwa kichaaMdogo mdogo kichaa kinaanza kukupanda.