startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 1,148
- 1,478
Sikubaliani naye wala simkatalii kwa sababu sijui lolote! Ila 70% naenda naye sako kwa bako kwa sababu ni kweli Ben saa nane simuoni mitaaniYeye kabendela ametoa ushahidi upi? Na wewe unskubaliana nae kwa ushahidi upi?
Na wewe ni mmoja wa misukule ya Magufuli???We mjinga fanya kazi naona inakuuma kutumbuliwa
Ninyi ndio mnaoitwa stupid. Ungekuwa na akili, ungeueleza ukweli unaoujua. Na kama una uhakika kuwa amesema uongo ungewashauri waathirika kufungua kesi dhidi ya Kabendera ili athibitishe tuhuma, lakini siyo kuropoka kama ulivyofanya.Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Unaposema tutaamini, wewe na nani? Kwanini usizungumzie nafsi yako bila kuwajumuisha wengine ambao huwajui, au sema wewe na familia yakoUkweli Gani kuandika hata Mimi naweza kuamka asubuhi nikaandika hivi unaakili timamu kweli alete picha za tukio ndio tutaamini ila sio maandishi
No hakuna haja ya kumshuhhulikia. Mungu ata deal naye!Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Na hutamuona ,na hakuna unachoweza kufanya kumrudishaSikubaliani naye wala simkatalii kwa sababu sijui lolote! Ila 70% naenda naye sako kwa bako kwa sababu ni kweli Ben saa nane simuoni mitaani
Low IQ inakuhusu utafungiaje kitabu kinachotolewa na Amazon ( that is if unajua Amazon ni nini)Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Amazon ni uchafu tu Sina haja ya kuujua haunisaidii chochote dunianiLow IQ inakuhusu utafungiaje kitabu kinachotolewa na Amazon ( that is if unajua Amazon ni nini)
Nimechagua kusimama na the late. Dr. John Pombe Joseph Magufuli.Huyu jamaa naona baada ya dili lake la voda kufeli Sasa amekanyaga moto yaana watoto wa mjini tunasema kaingia kwenye kumi na nane anataka kujipatia hela Kwa kutunga stori za uongo sababu anajua watanzania wengi Wana low IQ naomba serikali yetu imtie nguvuni na abanwe kisawasawa Kwa kuzusha uongo wake na hicho kitabu kifungiwe
Ukweli Gani kasema hapoKosa lake ni lipi? kusema ukweli?