Serikali mtafuteni huyu katili ili iwe fundisho kwa wengine

Jamaa amemkamata Mbwa mguu wake wa kushoto akaanza kumzungusha kama vile mashabiki wa Mpira uwanjani wanavyozungusha fulana zao/mashati yao wakiwa vifua wazi kisha akamwacha Mbwa aende zake.

Sasa sijui jamaa alitaka Mbwa apate kizunguzungu!
Hii ni dhambi kubwa sana kumkatili mnyama kama vile.

TSPCA imekufa siku hizi?
 
Jamaa amemkamata Mbwa mguu wake wa kushoto akaanza kumzungusha kama vile mashabiki wa Mpira uwanjani wanavyozungusha fulana zao/mashati yao wakiwa vifua wazi kisha akamwacha Mbwa aende zake.

Sasa sijui jamaa alitaka Mbwa apate kizunguzungu!
Huku Tz hatuna taasisi za kutetea haki za wanyama ?
 
Jamaa amemkamata Mbwa mguu wake wa kushoto akaanza kumzungusha kama vile mashabiki wa Mpira uwanjani wanavyozungusha fulana zao/mashati yao wakiwa vifua wazi kisha akamwacha Mbwa aende zake.

Sasa sijui jamaa alitaka Mbwa apate kizunguzungu!
Hapa Tanzania watu huwa wanang'olewa macho na kutupwa kwenye misitu itakua huyo mbwa
 
Huyo mbwa ni ngombe kweli yani..
Wenzake wanazaliwa ulaya yeye anazaliwa bongo kufata nini...kenge kweli huyu
 
Sema tu ingekuwa huko kwa wenzetu lakini huko watu wana roho mbaya hadi kwa viumbe wa Mungu.
 
Back
Top Bottom