Serikali mtafuteni huyu katili ili iwe fundisho kwa wengine

Serikali mtafuteni huyu katili ili iwe fundisho kwa wengine

Hii ni dhambi kubwa sana kumkatili mnyama kama vile.

TSPCA imekufa siku hizi?
Utakuta hiyo nayo ni taasisi ya serikali; ina Mkurugenzi ambaye anatembelea vieite. Hii mifumo ya kikoloni ya kucopy na kupesti haiwezi kutuacha salama
 
Nimeumia sana kutokana na kitendo cha kinyanyasaji kilichofanywa na huyo kijana
 
Nimeumia sana kutokana na kitendo cha kinyanyasaji kilichofanywa na huyo kijana
Mbaya zaidi watu wa pembeni yake walikuwa wanafurahia pia kile kitendo kwa vicheko vyao
 
Back
Top Bottom