Serikali mtambue maoni ya wananchi yapo kidigitali kwenye mitandao ya kijamii sasa

Serikali mtambue maoni ya wananchi yapo kidigitali kwenye mitandao ya kijamii sasa

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Zamani kabla mitandao ya kijamii maoni ya wananchi yalikuwa hayana tofauti na kilio cha samaki kwenye maji.
kwa yale mnayokumbuka

IMG_0948.jpg


hata ukitoa maoni yako kuhusu lolote basi kufanyiwa kazi asilimia ndogo sana.

serikali kubali kupokea maoni kupitia mitandao ya kijamii sehemu zote na sio kuzuia.

wananchi ndio wanajua mapungufu yenu na taasisi zenu.

ndio maana kila kukicha maoni yao wanaweka kupitia mitandao ya kijamii.

Asante #Jamiiforums kuwa sehemu ya mchango mkubwa watu kuleta maoni
 
Unadhani hawajui?

Kama hawajui Samia Hassan habari za kuambiwa anaupiga mwingi unadhani atakuwa amezipata wapi?
 
Back
Top Bottom