chizcom JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 8,680 Reaction score 18,035 Sep 29, 2021 #1 Zamani kabla mitandao ya kijamii maoni ya wananchi yalikuwa hayana tofauti na kilio cha samaki kwenye maji. kwa yale mnayokumbuka hata ukitoa maoni yako kuhusu lolote basi kufanyiwa kazi asilimia ndogo sana. serikali kubali kupokea maoni kupitia mitandao ya kijamii sehemu zote na sio kuzuia. wananchi ndio wanajua mapungufu yenu na taasisi zenu. ndio maana kila kukicha maoni yao wanaweka kupitia mitandao ya kijamii. Asante #Jamiiforums kuwa sehemu ya mchango mkubwa watu kuleta maoni
Zamani kabla mitandao ya kijamii maoni ya wananchi yalikuwa hayana tofauti na kilio cha samaki kwenye maji. kwa yale mnayokumbuka hata ukitoa maoni yako kuhusu lolote basi kufanyiwa kazi asilimia ndogo sana. serikali kubali kupokea maoni kupitia mitandao ya kijamii sehemu zote na sio kuzuia. wananchi ndio wanajua mapungufu yenu na taasisi zenu. ndio maana kila kukicha maoni yao wanaweka kupitia mitandao ya kijamii. Asante #Jamiiforums kuwa sehemu ya mchango mkubwa watu kuleta maoni
Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Sep 29, 2021 #2 Unadhani hawajui? Kama hawajui Samia Hassan habari za kuambiwa anaupiga mwingi unadhani atakuwa amezipata wapi?
Unadhani hawajui? Kama hawajui Samia Hassan habari za kuambiwa anaupiga mwingi unadhani atakuwa amezipata wapi?