tajiri tumbo kubwa
JF-Expert Member
- May 27, 2021
- 429
- 567
Habari wanabond, poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mtu anayeishi taifa moja la ugaibuni (west).
Ninachokiona, tutazidi kubaki nyuma kama ajira zitakuwa zinatolewa kwa watu ambao hawajui nini kilifanya waajiriwe katika maofisi au taasisi za serikali, jirani yetu Rwanda kuanzisha kampuni na kusajiliwa hoja zako za kibiashara ni chini ya masaa 24 pekee, hapa kwetu ni miezi au miaka.
Tatizo ni wakuu wa serikali kuwapa either jamaa zao au watu wanaowajua ajira bila kufikiria ile hasara inaletwa katika taifa na hao watu.
Chukulia mfano TIC hii ni ya uwekezaji, nimeandika emails huko nikitaka kujua jambo fulani na ni weeks bila majibu, na hizi emails naziandika kwa facilitation officer.
Sasa nashangaa mtu kama huyu kama hawezi wajibika si wawekezaji wanaenda mataifa mengine, Rwanda ukiandikia RDB ambayo ndio inahusika na uwekezaji, jibu after less than 5 hours unapata, kusajili kampuni only hours.
Sasa niambie tunawezaje kushindana na watu kama hao?
Pls naomba hili swala serikali ichunguze hao wafanyakazi ambao hawana ufahamu na kile kiliwafanya wakawa katika zile ofisi.
Na kwa wewe facilition officer pale ofisi ya TIC Dar, Julie Muro, pls nijibu email yangu pls pls pls.
Asante