MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nashukuru leo nilibahatika Kukaa Ukumbi Mmoja waliokuwa baadhi ya Wakufunzi wa Waamuzi nchini, Kiongozi Mmoja wa TFF na Mchezaji wa zamani wa Yanga SC Magomeni Mapipa ambapo Wote kwa pamoja walionekana Kuchukizwa na Penati ya Kiuonevu dhidi ya Namungo FC na ya Kuipendelea ( Kuibeba ) Yanga SC iliyotolewa na Mwamuzi ( Referee ) Zuzu na Katili kuwahi kutokea nchini Tanzania ikielekea Kusheherekea miaka yake 60 ya Uhuru.
Wala huhitaji Akili Kubwa sana kuweza kujua ya kwamba Mwamuzi ( Referee ) wa leo kama walivyo wengine wanaochezesha Ligi Kuu ya NBC wapo katika 'payroll' ya Kampuni ya GSM ambayo pia ndiyo Wadhamini Wakuu wa Klabu ya Yanga.
Serikali ya Tanzania ( kupitia Wizara husika ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ) pamoja na TAKUKURU endeleeni tu Kukalia Kimya huu Upuuzi na Uhuni unaofanywa na hawa GSM katika Ligi Kuu ya NBC ila ipo Siku isiyo na Jina kwa Uchezeshaji huu wa Kimaagizo na Upendeleo kuna Waamuzi ( Referees ) Viungo vyao vya Mwili vitakuwa vimeshatenganishwa na wamekuwa Historia hapa duniani.
Popote pale tu laana impate Mwamuzi.