Serikali na TAKUKURU imulikeni NBC Premier League, Pesa za GSM kwa Marefa ili Kuibeba Yanga SC zinaharibu Soka letu

GSM atangazwe kuwa adui wa mchezo wa mpira wa miguu, anatumia vibaya hela zake kuharibu ligi yetu,ajikite tu kwenye biashara yake haramu ya kukwepa kodi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Na bado, makolo fc mwaka huu maji mtaita Mma!!pumbaf!!mkipewa penalt nyie sawa ila akipewa yanga inakua nongwa!!na mm nasema na bado marefa hapo hapo shikilieni mpk wahame ligi!!!!Refa kakosea kama binadamu ila akikosea kwenu ni sawa ila akikosea kwa Yanga ni kosaa!!!tulieni makolo dawa iwaingie!kwa taarifa yako ligi ya bongo, MAKOLO FC na YANGA zinabebwa sana tuu!!so hakuna kipya na ndo maana kama taifa hatufiki mbali kisoka
 
Z
 

Mkuu ukiwataja Yanga tuu unawaonea Kaka...
Hapo GSM inapitia tuu wako wakuu...Nasema WAKUU nyuma yake Kaka[emoji3516][emoji3578] ambao wameshaapa kuchukua ubingwa kwa hali na mali kaka
 
Chizi karogwa tena.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…