DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Umeona hili tU,mbona hamsemi watu waliopata hasaea kutukana na kuhairishwa daby wafidiweBaada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za mashindano ya CAF hususani kwa ajili ya mechi ya fainali dhidi ya Berkane.
Fidia hii inaweza kuwa kwa njia ya cash moja kwa moja au kama hilo ni gumu basi kwa njia ya kupunguza au kuondoa makato yanayotakiwa kwenda kwa taasisi hizi katika mechi za nyumbani za Simba hadi pale kiasi fulani watakachokubaliana kitakapofika.
Katika fainali hii, Simba imepoteza mapato yanayokadiriwa kufikia milioni 800.
Tukumbuke pia katika mechi ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch iliyochezewa pia New Amaan Stadium Zanzibar, Simba pia ilipoteza mapato mengi kwa mechi kutochezewa kwa Mkapa, upotevu unaoweza kufikia milioni 500.
Hizi mechi zote mbili ni wazi zingekuwa full house pale Lupaso.
Kama ndiyo hivyo, simba aturudishie gharama za hotel SA na Maroc na za dreamliner kwenda na kurudi SA na Maroc.Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za mashindano ya CAF hususani kwa ajili ya mechi ya fainali dhidi ya Berkane.
Fidia hii inaweza kuwa kwa njia ya cash moja kwa moja au kama hilo ni gumu basi kwa njia ya kupunguza au kuondoa makato yanayotakiwa kwenda kwa taasisi hizi katika mechi za nyumbani za Simba hadi pale kiasi fulani watakachokubaliana kitakapofika.
Katika fainali hii, Simba imepoteza mapato yanayokadiriwa kufikia milioni 800.
Tukumbuke pia katika mechi ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch iliyochezewa pia New Amaan Stadium Zanzibar, Simba pia ilipoteza mapato mengi kwa mechi kutochezewa kwa Mkapa, upotevu unaoweza kufikia milioni 500.
Hizi mechi zote mbili ni wazi zingekuwa full house pale Lupaso.
Sisi ni Serikali sikivu, tutalipa fidia mkituhakikishia kua Uwanja wa MKAPA mnaumiliki nyinyi au mkituthibitishia kua tumewakataza waliokata tiketi wasiende Zanzibar muishihidia timu yao ikikabidhies kombe na kuwa disi tulieahamasisha wakate tiketi prematurely na kurndelra kueahamSisha wakate hat baada ya mchezo kubadilishwa kiwanja.Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za mashindano ya CAF hususani kwa ajili ya mechi ya fainali dhidi ya Berkane.
Fidia hii inaweza kuwa kwa njia ya cash moja kwa moja au kama hilo ni gumu basi kwa njia ya kupunguza au kuondoa makato yanayotakiwa kwenda kwa taasisi hizi katika mechi za nyumbani za Simba hadi pale kiasi fulani watakachokubaliana kitakapofika.
Katika fainali hii, Simba imepoteza mapato yanayokadiriwa kufikia milioni 800.
Tukumbuke pia katika mechi ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch iliyochezewa pia New Amaan Stadium Zanzibar, Simba pia ilipoteza mapato mengi kwa mechi kutochezewa kwa Mkapa, upotevu unaoweza kufikia milioni 500.
Hizi mechi zote mbili ni wazi zingekuwa full house pale Lupaso.
Kivipi?
Wewe pimbi kweli, anayepanga uwanja ni CAF sasa unataka wafidiwe nini?
Kwan huko aman hakuna mapato?
Simba wamefanya utaoeli makusudi hakuna kusaidiwa kufidiwa bali wapigwe faini kubwa wakome kuchezea maslahi ya mashabiki wa soka
Yaani mmeshindwa kulielewa jambo rahisi kama hili. Simba wana mkataba na serikali wa kutumia uwanja wa Mkapa kwa mechi za kimataifa.Sisi ni Serikali sikivu, tutalipa fidia mkituhakikishia kua Uwanja wa MKAPA mnaumiliki nyinyi au mkituthibitishia kua tumewakataza waliokata tiketi wasiende Zanzibar muishihidia timu yao ikikabidhies kombe na kuwa disi tulieahamasisha wakate tiketi prematurely na kurndelra kueahamSisha wakate hat baada ya mchezo kubadilishwa kiwanja.
Umeona hili tU,mbona hamsemi watu waliopata hasaea kutukana na kuhairishwa daby wafidiwe
Tiketi za derby bado zipo hai na zitatumika June 15.Kama ni fidia waanze wale wa derby tarehe 8/03/2025, kama wale hawafidiwi basi kila mtu apambane na hali yake
Kwanza waturudishie hela zetu....sio kila mtu aliyenunua ticket ninshabikinwa simba...hiyo simba day sie haituhusu mie nilitaka kumuona camara. Nataka hela yangu wasilete uhuniBaada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za mashindano ya CAF hususani kwa ajili ya mechi ya fainali dhidi ya Berkane.
Fidia hii inaweza kuwa kwa njia ya cash moja kwa moja au kama hilo ni gumu basi kwa njia ya kupunguza au kuondoa makato yanayotakiwa kwenda kwa taasisi hizi katika mechi za nyumbani za Simba hadi pale kiasi fulani watakachokubaliana kitakapofika.
Katika fainali hii, Simba imepoteza mapato yanayokadiriwa kufikia milioni 800.
Tukumbuke pia katika mechi ya nusu fainali dhidi ya Stellenbosch iliyochezewa pia New Amaan Stadium Zanzibar, Simba pia ilipoteza mapato mengi kwa mechi kutochezewa kwa Mkapa, upotevu unaoweza kufikia milioni 500.
Hizi mechi zote mbili ni wazi zingekuwa full house pale Lupaso.
Hata hizo bado ziko hai, si ,itatumika simba day August!Tiketi za derby bado zipo hai na zitatumika June 15.
Ulaji unatudhalilisha na Bado hatuogopi walaniniWatanzania ni wapumbavu sana uwanja CAF walitoa hela ufanyiwe ukarabati na serikali wakatoa over 1 billion lakini mpaka leo ni siasa tu mara kaenda waziri mkuu kukagua mara kaenda msemaji wa serikali mara kaenda naibu waziri na waziri wake wa michezo ila mwisho wa siku maji na mafuta vimejitenga.
Rudisheni hela za watu. Kwa nini mnawapangia mechi ya kutazama? Kwani wenyewe walilipia hicho kiingilio kwa lengo la kuanagalia mechi ya Juni 15, au Mei 25?Tiketi za derby bado zipo hai na zitatumika June 15.