DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
- Thread starter
-
- #21
Kwanza waturudishie hela zetu....sio kila mtu aliyenunua ticket ninshabikinwa simba...hiyo simba day sie haituhusu mie nilitaka kumuona camara. Nataka hela yangu wasilete uhuni
Tatizo mfumo hauko rafiki kurudisha pesa. Mifumo yote ya kipesa iko hivyo, ndiyo maana ukiwa unalipa online malipo yanafanyika hapo hapo ila ukitaka refund yoyote unaweza kuambiwa usubiri masaa 48 au zaidi. Ni mapungufu ya kimfumo, Simba hausiki.Rudisheni hela za watu. Kwa nini mnawapangia mechi ya kutazama? Kwani wenyewe walilipia hicho kiingilio kwa lengo la kuanagalia mechi ya Juni 15, au Mei 25?
Hakuna mapato yalio potea chifu. Km mnataka mapato jengeni uwanja wenu.
Na nani aliekwambia TFF ndo waliozuia uwanja? So ulitaka watu wacheze kwny shamba la mpinga km viwanja vyenu vya league mlivyovizoea?
Someni vizuri hoja iliyopo mezani. Nadhani hamjaielewa vizuri.Hata hizo bado ziko hai, si ,itatumika simba day August!
Tako lenye gia kwa sasa duniani hivyo ni vitu simple sana. Tuache kutetea wizi. Huu ni wizi kwa pande ya simba na pande ya caf pia. Wote wezi tuuTatizo mfumo hauko rafiki kurudisha pesa. Mifumo yote ya kipesa iko hivyo, ndiyo maana ukiwa unalipa online malipo yanafanyika hapo hapo ila ukitaka refund yoyote unaweza kuambiwa usubiri masaa 48 au zaidi. Ni mapungufu ya kimfumo, Simba hausiki.
Juzi au jana nilitoa ushauri wa maboresho yanayotakiwa kufanyika katika mfumo wa N-Card ili zikitokea changamoto kama hizi, pesa iweze kurudi katika kadi na mtu aamue mwenyewe cha kuifanyia.
Kuhusu derby, mechi imeahirishwa shida iko wapi? Imebadilishwa tarehe ila mechi ni ile ile.
Bc na simba warudishe pesa za kiingilio, mbona simple tuu Sio lazima uwe umesoma ili ueleweYaani mmeshindwa kulielewa jambo rahisi kama hili. Simba wana mkataba na serikali wa kutumia uwanja wa Mkapa kwa mechi za kimataifa.
Mamlaka hizo zikazembea katika ukarabati ikalazimisha Simba kuhamia Zanzibar na hivyo kuikosesha mapato katika mechi mbili kubwa za CAF. Ni wazi Simba SC inastahili ilipwe fidia.
Mfumo hauruhusu kurudisha pesa, mbona nimefafanua vizuri tu. Wewe weka pesa kwenye N-Card yako halafu nenda kwa wakala mwingine yeyote wa N-Card waambie waitoe wakupe cash kama wataweza.Bc na simba warudishe pesa za kiingilio, mbona simple tuu Sio lazima uwe umesoma ili uelewe
Kama wameweka mfumo kushindwa kurudisha pesa bc pia wanaweza kuweka mfumo kuruhusu pesa kurudi.Mfumo hauruhusu kurudisha pesa, mbona nimefafanua vizuri tu. Wewe weka pesa kwenye N-Card yako halafu nenda kwa wakala mwingine yeyote wa N-Card waambie waitoe wakupe cash kama wataweza.
Ni mpaka hapo sasa mfumo utakapofanyiwa hayo maboresho. Kudai kurudishiwa pesa sasa hivi ni upotevu tu wa muda wenu. Matokeo yake mnaishia kuilaumu Simba wakati ni watumiaji tu wa mfumo na siyo wamiliki.Kama wameweka mfumo kushindwa kurudisha pesa bc pia wanaweza kuweka mfumo kuruhusu pesa kurudi.
Simple tuu mbona mkuu
Uwe na usiku mwema mkuuNi mpaka hapo sasa mfumo utakapofanyiwa hayo maboresho. Kudai kurudishiwa pesa sasa hivi ni upotevu tu wa muda wenu. Matokeo yake mnaishia kuilaumu Simba wakati ni watumiaji tu wa mfumo na siyo wamiliki.
N-Card siyo Debit Card ingawa kuna mfanano.
Yaani mmeshindwa kulielewa jambo rahisi kama hili. Simba wana mkataba na serikali wa kutumia uwanja wa Mkapa kwa mechi za kimataifa.
Mamlaka hizo zikazembea katika ukarabati ikalazimisha Simba kuhamia Zanzibar na hivyo kuikosesha mapato katika mechi mbili kubwa za CAF. Ni wazi Simba SC inastahili ilipwe fidia.
Acha upimbi !Yaani mmeshindwa kulielewa jambo rahisi kama hili. Simba wana mkataba na serikali wa kutumia uwanja wa Mkapa kwa mechi za kimataifa.
Mamlaka hizo zikazembea katika ukarabati ikalazimisha Simba kuhamia Zanzibar na hivyo kuikosesha mapato katika mechi mbili kubwa za CAF. Ni wazi Simba SC inastahili ilipwe fidia.