Mkuu, ni afadhali kukaa kimya kama hujui jambo na kusikiliza wenzako, ila unapotharau au kuleta visingizio vya kutangaza hadharani kutoamini wengine,basi toa jawabu! It is a shame kama msomi wa modern science kuamini ushirikina hadharani kuwa ndiyo njia sahihi ya utatuzi wa issue nyeti kama corona. Tulianza vizuri mwaka jana kwa kufanya epidemiological screening ya covid kwa baadhi ya vituo,angalau kujua trend, japo hatuna dawa. Just of a sudden tukasitisha bila genuine reason,ttukatangaza tuko free from covid,tukaondoa marufuku kadhaa,tukaingiza watalii na kila yeyote. Leo hii tunaekekea kusiko tunaanza kulumbana na kuhamia kwenye ushirikina! Huo ndo usomi unaotueleza? Hao Wazungu unaowataja,nakubaliana na baadhi ya sera zao kuwa potofu,lakini siyo hili la Covid 19/21. Ushamba utatuangamiza! Na hili la kutaka unayemteua awe anakusikiliza wewe tuu ndiyo baya zaidi!!