Serikali na wimbi la vifo vinavyotokana na kushindwa kupumua

"TO MAKE A GOOD BALANCE IN THE WORLD 3 BILLIONS PEOPLES ARE NOT NEEDED"-nwo secrets
 
Sorry, did I invite you? Stop being selfish dude!.
acha upuuzi na blah blah hujui lolote selfish mkubwa
hapa nilipo nipo Msibani na sio msiba mmoja halafu unaleta siasa za Corona
you are Dude utafuata wewe kwa kufa na hili gonjwa
iambie serikali yako mtaondoka wote mnaoficha maradhihakuna cha kwensa India SA wala China
 
Kwlei wewe umekuwa zaidi ya pumbavu!. Angalia kama CoVid itakuacha, basi utaokota makopo. Pumbavu sana hata hujielewi. Achana na mimi sina muda na watu wasiojitambua.

My friend, I have a handful evidence of those died from this shit while deeply dosed with those herbals. Just to remind you, this shit is still contraversial to medical experts! I rather suggest to combine local as well as external efforts.
Who is opposing you here? You need to understand the context in the agenda before casting stones awkwardly. If you were sensible enough to get into the concept, you could know my warnings under preamble. Bringing up solutions and not unproductive arguments. Toa solutions siyo ku attacck watu wakati hujaelewa wanaongelea nini. Sema nini kifnyike ili tuwe kama nani aliyefanya hivyo na kukomesha tatizo.
 
acha upuuzi na blah blah hujui lolote selfish mkubwa
hapa nilipo nipo Msibani na sio msiba mmoja halafu unaleta siausa za Corona
you are Dude utafuata wewe kwa kufa na hili gonjwa
iambie serikali yako mtaondoka wote mnaoficha maradhihakuna cha kwensa India SA wala China
Nakurejesheaa mauti unayoinena juu ya kichwa chako mwenyewe. Stop attacking people ignorantly. Nani kafanya sat iasa. Did you understand my concern? Idiot!.
 
Nakuunga mkono. Watalii kedekede,nenda Arusha na Moshi utajionea, hili hatulioni kama ni tatizo. Tulionywa mapema tuzuie maingiliano tukashupaza shingo kuwa ni kaugonjwa,hopeless. Tumeondoa Mawaziri waliosimamia vyema tukajaza Bandugu ili kuendeleza ushirikina wa Kisuk.. wa kujifukiza! Ajabu sana. Kuna mtu sasa hivi ukiangalia uso wake umeiva kama chocolate shauri ya kujifukiza. Kwa wasiojua kujifukiza kila siku unauwa seli za ngozi ya mapafu kwa moto ambazo zilikuwa muhimu kupambana na lung infections !
Sio kushupaza shingo, tamaa ya fedha bila kujali uzalendo wanao uimba kinafiki, maana watarii si huingiza fedha za kigeni,Bora watu wafe ila fedha iingie.
 
Kwani wanalazimishwa kujazana kwenye mwendokasi? Watumie akili, ukiona basi limejaa usipande utakuwa unajilinda! Mambo mengine ni kutumia common sense tu.
Wewe vipi Nani kakuambia Kuna korona mpaka watu wa keep social distance?!
 
UTANGULIZI

1. HUU UZI UNABEBA KITU TOFAUTI NA UNAHITAJI HATUA ZA HARAKA.

2. HUU UZI NI WA SULUHISHO NA SI MAHALA PLA LAWAMA, MALUMBANO AMA KUTAFUTA UMAARUFU.

3. ANAYEWEZA KUWA NA MAWASILIANO NA WAZIRI MKUU, AMPE LINK AMA TAARIFA ILI UAMUZI WA HARAKA UCHUKULIWE.

HOJA
1. Siyo siri kwamba kuna wimbi kubwa sana la vifo vya binadamau wa umri wote, kada zote na aina zote linalotokana na kushindwa kupumua.

2. Mkuu wa Wizara ya Afya wiki mbili zimepita amehamasisha matumizi ya dawa za asili zinazotibu magonjwa mbalimbali ya kuambukiza zikiwemo mapafu, mafua n.k, na hata akademostrate recipe ya kutengeneza moja ya remedies hizo kwa kutumia vyakula vilivyopo hapa nchini.

3. Mkuu wa nchi ametoa msimamo sahihi na thabiti sana wa kuhimiza uangalisfu dhidi ya hila za maadui wa Africa ambao wamedhihirisha hila za kishetani za kutudhuru kwa kupitia huduma za afya ama misaada ya kibinadamu. Big Up my Rais, nakuombea Mkono wa Mungu usipungue kwako maana wewe ni Mkombozi wa Africa.

4. Bila kujali kwamba kuna Corona ama hakuna, ama kwamba mauti zinazoingira familia ya Mtanzania vinayotokana na mifumo ya hewa ni corona ama kitu kingine, kwa level yetu ya uelewa hatuhitaji mtu (anayetaka tufe) ama adui yteu atuambie hili wimbi ni nini na nini cha kufanya. Hatuhitaji WHO wafanye tafiti wagundue ni kwa nini tunakufa kwa kushindwa kupumua halafu waanze kutuambie tufanye nini wakati pamoja na kwamba hata wao CORONA imewapiga na hawana suluhu yoyote ya kweli, wameonyesha uchu wa kutumaliza kupitia vitisho vya maradhi.

5. Kwa hoja namba nne hapa juu, ni jukumu letu kuendelea kujiongeza na kufanya maamuzi yenye msutakabali sahihi wa familia yetu. Walitumabie tujifungie tukakataa na kutafanya kivyetu na baadaye wakaanza kutuiga ingawa ni baada ya kutupigia makelele. Tuemone namna rais wa Madagascar walivyotaka kumnunua ili dawa iliyokuw aimegundulika kule iwekewe sumu, na hao hao ambao leo wanasema eti wanachanjo ya kutuokoa!!!!!. The devil is a liar". Na hata mazingira ya ongezeko la Corona Madagascar linatia shaka sana. Isije ikawa walispray sumu kwenye vegetations za nchi hiyo ili dawa itakayotengenezwe locally isiwe effective

6. Tunapovaa uzalendo na kusimamia uhuru wa taifa, tuende na huo mtazamo katika mambo yote mema kwa taifa.
Kuna dawa nyingi sana ambazo zimethibitishwa kutibu CORONA na kuwekwa kwenye media, na TCRA hawajawahi kuchukua hatua za kisheria kwamba waliotangaza akiwemo Mama Asumpta Mshana aliyekuw a DC wakibaha kwamba ni waongo. Mheshimiwa Kabudi naye alionekana kusema jambo hili na hajachukuliwa hatua zozote za kisheria kwa mantiki hiyo hizo dawa zipo na ama zinaweza kutengenezwa kwa haraka na zikawa na upatikanaji sahihi kwa matumizi ya Watanzania.

7. Kwa kuwa Uongjwa wa kupumua sasa ni suala Mtambuka. hatujui nani na anacheo gani ataanguka ghafla dakika ijayo na kufa kwa gonjwa hilo, badla ya kuwaambia watu wachukue tahadhari kana kwamba hakuna sababu ya kuwa na regulatory wala supervisory bodies, ninaomba seriali ilichukulie maanani na ichukue hatua zifuatazo.

a). Watengenezaji wa dawa hizo zilizothibitika kutibu CORONA, wawezeshwa kutengeneza dawa hizo kwa wingi ( arrangements za kuwaongezea nguvu ama kwa njia ya ubia, mkopo, tehcnolojia ama ruzuku zifanyike ili wazalishe dawa hizo kwa haraka , kwa wingi na kwa ubora uleule).

b) Dawa lishe hizo zigawiwe kwa wingi kila sehemu Tanzania , na ziuzwe kwa bei elekezi ii kuthibiti watu wanaopenda kufaidika na misiba ya wengine. Bei hiyo iwe ya chini sana ili kumwezesha kila Mtanzania kununua na kuitumia. Wazee wastaafu, wajawazito, watoto na wasiojiweza wapewe bure". Kila mtu anywe hiyo dawa Tanzania nzima.

c) Inashangaza waziri anaseema watu wajikinge wenyewe wakati hauna hatua zinazolazimisha compliance katika vyombo vy ausafiri kama mabus, magari ya mwendo kasi ni balaa, pantonini, n.k. Toeni agizo mara moja watu wasafirishaji wa abiria wasibananishe abiria wakati kuan mtambuka wa vifo vya mifumo ya kupumua .

Hitimisho
Sijasema CORONA na hata viongozi wakichukua hatua hawana haja ya kusema Corona kama si Corona. Naomba waseme wanaa address suala Mtambuka namifumo y aupumuaji.

Nogja ngoja huumiza matumbo. Tusiendelee kungoja maana hatuju who is next.

NI faida kubwa na uwekezaji mkubwa kwa taifa likiwekeza kwenye kuimarisha afya za watu wake. Ni busara kubwa kama viongozi waatatumia fedha zetu za KOdi kufanikisha suala hili ambalo gharama yake ni nafuu sana kuliko gharama za kuuuguza, kulaza na kupoteza watu wetu. Tutumieni fedha zetu kwa maslahi ya taifa. Afya ni mtaji uhai. Kwa pamoja tutavuka.
UVCCM katika ubora wako
 
Kosa lako kubwa katika huu uzi ni kuingiza siasa.
Halafu hutaki ujibiwe kisiasa kama ulivyo lipolitizi.
Umakini katika suala la corona unahitajika sana na hili lilitakiwa lihamasishwe na viongozi hasa kiongozi mkuu kwa njia ya mfano.
Nisiseme mengi ila kama tulianza katika njia ya kimakosa na sasa tunatafuta namna ya kupona katika hili janga, basi tufahamu na kukiri kuwa kukosea sii kosa kama kurudia kosa.
Kwa pamoja tuungane katika hii vita kwa sababu inawezekana kuitokomeza au kupunguza kwa kiwango cha kuridhisha.
 
UVCCM katika ubora wako
Pumbavu stay away from me. You are not my level please mind your business. Utakufa na maupumbavu yako ya kisiasa. Unadhani watu wote ni majuha wanaishia kuwaza uccm na ujinga mwingine? Pumbavu sana.
 
My friend, I have a handful evidence of those died from this shit while deeply dosed with those herbals. Just to remind you, this shit is still contraversial to medical experts! I rather suggest to combine local as well as external efforts.
Ume tugongea slange duh! Si mchezo
 
Unapashwa kuelewa mwaka jana siyo leo. Usiunganishe matukio kutka kujastify makosa ya kimtazamo yako yaliyopita. Kama ulikuwa kinyume na sera za nchi juu ya hili kwa mwaka jana ulifeli. Sasa hivi tunaongelea wimbi la pili. Duniani kuna wimbi la pili la corona ndicho kilichopo sasa.

Unapozungumzia ufahamu kwamba dunia na TZ tunaongelea wimbi la pili. kuanzia hapa. nini kifanyike. Awamau ya kwanza tulishinda, hiyo haipingiki na haina lawama zaidi ya watu walioshindwa wanataka kuedit aibu zao.

Kosa lako kubwa katika huu uzi ni kuingiza siasa.
Halafu hutaki ujibiwe kisiasa kama ulivyo lipolitizi.
Umakini katika suala la corona unahitajika sana na hili lilitakiwa lihamasishwe na viongozi hasa kiongozi mkuu kwa njia ya mfano.
Nisiseme mengi ila kama tulianza katika njia ya kimakosa na sasa tunatafuta namna ya kupona katika hili janga, basi tufahamu na kukiri kuwa kukosea sii kosa kama kurudia kosa.
Kwa pamoja tuungane katika hii vita kwa sababu inawezekana kuitokomeza au kupunguza kwa kiwango cha kuridhisha.
 
Kwlei wewe umekuwa zaidi ya pumbavu!. Angalia kama CoVid itakuacha, basi utaokota makopo. Pumbavu sana hata hujielewi. Achana na mimi sina muda na watu wasiojitambua.
Mkuu, kila mtu hajitambui?
 
Mkuu, kila mtu hajitambui?
If Jf has 22, 500 members and 2 therein proves foolishness in a specific area, then jf idiocy rate in that particular areas is 0.0088888% Ceteris Paribus. So far, as far as this topic is concerned your strata constitutes 0.01% of the population. Does it qualify you to represent everybody? No it doesn't sweetheart!.
 
Umeshaambiwa Corona haina dawa.unataka serikali ifanye nini?.
MTU akifa zikeni maisha yanaendelea.
mabwana zako unaowatetea ndo wamekuambia "kolona" haina dawa...kwamba watu woote walioipata wameshakufa?!.
ishi kwa kujitafutia kipato chako mwenyewe, ukiwategemea "hao" utaendelea kuwa mtumwa wa kiuchumi & kimawazo mpaka kufa!!!.
 
nilikuwa kwenye mitandao tangu 2010.
Na nilikuwa natukana sana watu kule Facebook.
Ila Kwa sasa sina USHAMBA HUO

Back
Top Bottom