Serikali na Wizara ya Afya fanyeni haya kudhibiti maambukizi ya UKIMWI nchini

Hayo ya huko mbeleni mtajua nyie wenye mipango ya kuishi milele sie wengine tunaangalia burudani yetu ya sasa. Wacha vitoto vijienjoy jamani kwani wao hawapendi kumiliki iphone
 
Kwahiyo wakitangaza hivyo ndio watu wataacha kunyanduana.Ushauri wa maana ni huo wa mwisho maana kuelimika ndo kila kitu ila ule ushauri kule mwanzo,Umetoa ushauri wakijinga bora ungekaa kimya tu.
Ushauri wangu siyo msaafu kwamba wataacha! Kama maandiko yenyewe hawaheshimu usifikiri ushauri wangu ndiyo mwarobaini, nimeshauri kwa lengo ni kupunguza tatizo ili watu washituke wasijiachie
 
HIV siyo ya kuogopa tena, unameza ARV unadunda 30+
life exp. ya mTz ni miaka 60, umewaka at 25 na ukafika 55 siyo mbaya sana
Yaani kwanza ukifanikiwa kufika 40 tuu...ah wee ulishatoboa hapo wewe ni kula mbususu utakavyo maana hamna tena la kuogopa
 
Hi thread inafanya nini jukwaa la siasa?! Pelekeni like kwenye jukwaa la ngono
 
Hi thread inafanya nini jukwaa la siasa?! Pelekeni like kwenye jukwaa la ngono
Haya mambo ni ya kisera! Namna ya kutokemeza ngono zembe inahitaji Sera rafiki kwa wizara
 
Hivi kama watu wanafanya ngono salama (wanatumia) kondomu hizo P2 wasichana wanaenda kununua za Nini?
 
Watu waliogopa corona zaidi kuliko ukimwi na kila siku inasisitizwa corona tu
 
Ukitaka kuondoa jambo katika jamii angalia source yake

Source ya Ukimwi ni zinaa tu hakuna chengine kwaio watu wamrudie Mungu wao waache Zinaa huo ndo ukweli mchungu

kwani iyo Mipira ilikuepo tangu lini tujiulize je imesaidia au ndo jamii inazidi kuangamia?
Jibu kila mtu analo

xxxxAcha zinaa epuka ukimwi xxxxxx
 
Tafteni hata wagonjwa wa kutengeneza waonekane kuwa chanzo ni P2 wahojiwe na media na waseme walikunywa P2
Wee jamaa una potential kubwa sana ya kuja kua mganga wa kienyeji kwa akili hizi mi naona kipaji unacho unakichezea tuu.. 🤣
 
Kuna wale watoto waliozaliwa na UKIMWI sasa wamekuwa vijana wakubwa, hivyo kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…