DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki
Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu?
Ndugu Max hakikisha unawapa ban Huu ndo mtandao pekee wanatumia Hadi wazee wenye busara .