Serikali nzima ya Dubai imehamia Tanzania

Kwa hiyo Arabs waki vua vitambaa wana badilika na kua wazungu!! Kweli wewe pimbi mzee
Unadhani hunting trip ndio huwa wanaenda kupanda miche kule porini? Nimekuonesha mfano tu, ili upate tafsiri kwa kiswahili, kama hujaelewa shauri yako.
 
Tuwamalize wanyama wa pori kwa minajili ya mihela.
Yep! Mbona wao wanamaliza mafuta aridhini kwa ajili ya mihela? By the way, wanayama wanazaliana (renewable recourse) ila mafuta hayazaliani (non renewable resource)
 
Yep! Mbona wao wanamaliza mafuta aridhini kwa ajili ya mihela? By the way, wanayama wanazaliana (renewable recourse) ila mafuta hayazaliani (non renewable resource)
Mafuta huwa haikwishi babaa usidanganywe na Watu.
 
Yep! Mbona wao wanamaliza mafuta aridhini kwa ajili ya mihela? By the way, wanayama wanazaliana (renewable recourse) ila mafuta hayazaliani (non renewable resource)
Ni wapi huko ambako wanyama wameongezeka porini? Wanyama wanapungua bana tena kwa kasi sana!
 
Ha haa! Ipo siku yataisha huko aridhini. Sijui tutafanyaje. Nadhani tutarudi kwenye steam engines!
Nina uhakika watakuwa wamepata namna nyingine. kama haitapatikana basi itabidi Watu kutembea ama kutumia wanyama kwa usafiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…