Ina maana wamewaiwa hawa wanyama?Hivo vitambaa vyao ni maigizo tu. Combat ndio zao. Ndio hawa hapa, wakiendelea na shughuli zao.![]()
Urithi wetu sisi waafrika, kwishney!![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana wamewaiwa hawa wanyama?Hivo vitambaa vyao ni maigizo tu. Combat ndio zao. Ndio hawa hapa, wakiendelea na shughuli zao.![]()
Urithi wetu sisi waafrika, kwishney!![]()
Kwa hiyo Arabs waki vua vitambaa wana badilika na kua wazungu!! Kweli wewe pimbi mzeeHivo vitambaa vyao ni maigizo tu. Combat ndio zao. Ndio hawa hapa, wakiendelea na shughuli zao.![]()
Urithi wetu sisi waafrika, kwishney!![]()
Unadhani hunting trip ndio huwa wanaenda kupanda miche kule porini? Nimekuonesha mfano tu, ili upate tafsiri kwa kiswahili, kama hujaelewa shauri yako.Kwa hiyo Arabs waki vua vitambaa wana badilika na kua wazungu!! Kweli wewe pimbi mzee
Yep! Mbona wao wanamaliza mafuta aridhini kwa ajili ya mihela? By the way, wanayama wanazaliana (renewable recourse) ila mafuta hayazaliani (non renewable resource)Tuwamalize wanyama wa pori kwa minajili ya mihela.
Mafuta huwa haikwishi babaa usidanganywe na Watu.Yep! Mbona wao wanamaliza mafuta aridhini kwa ajili ya mihela? By the way, wanayama wanazaliana (renewable recourse) ila mafuta hayazaliani (non renewable resource)
Ha haa! Ipo siku yataisha huko aridhini. Sijui tutafanyaje. Nadhani tutarudi kwenye steam engines!Mafuta huwa haikwishi babaa usidanganywe na Watu.
Ni wapi huko ambako wanyama wameongezeka porini? Wanyama wanapungua bana tena kwa kasi sana!Yep! Mbona wao wanamaliza mafuta aridhini kwa ajili ya mihela? By the way, wanayama wanazaliana (renewable recourse) ila mafuta hayazaliani (non renewable resource)
Nina uhakika watakuwa wamepata namna nyingine. kama haitapatikana basi itabidi Watu kutembea ama kutumia wanyama kwa usafiri.Ha haa! Ipo siku yataisha huko aridhini. Sijui tutafanyaje. Nadhani tutarudi kwenye steam engines!
Mwarabu na mzungu pekee yake ndio anakubaliwa kuwinda. Marufuku huwa ni kwa waafrika pekee yake. Tulirogwa, sio bure.Mafuta huwa haikwishi babaa usidanganywe na Watu.