Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

Serikali Sasa Ituambie kwa Uwazi: Nani Anagharamia Uhamishaji wa Raia toka Ngorongoro Kwenda Msorero, Kuwajengea na Posho Walipwayo? Bunge linajua?

yaani mambo ya maendeleo yapo kwenye utekelezaji wewe ndio unakurupuka kuuliza bageti ? kweli?🤣🤣

kuna watu wako primitive sana inchi tatata 🤣🤣
Unaonekana hujui chochote kuhusu budget, kama hujui kitu acha wanaojua masuala ya budget watujuze, usituletee maneno ya taarabu hapa.
 
Nina hakika hata yeye mwenyewe hajui. Anaambiwa tu tayari tunawahamisha na fungu lako la kumi toka kwa Al Sultan hili hapa.
 
Unapata ugumu gani kutuwekea hapa hilo fungu la bajeti? Mbona barabara na hospitali zinazojengwa zinaainishwa wazi? Ni wizara gani iliyotengewa hiyo bajeti?
Unamdanganya nan kwa hoja zako hz. Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Tunafuatilia mambo kuliko miaka hiyo
 
Ila Bunge likiwa Butu raha sana Mana mtu unafanya unavyotaka na Hauna shaka ya watu kukuliza mana atakae thubutu kufanya ivo Jina lake 2025 litakatwa
Kuwa na Bunge la hovyo namna hii ni matokeo ya uwepo wa dikteta uchwara from 2015-2021. Yule mzee aliliharibu sana hili taifa.

JESUS IS LORD&SAVIOR
 
Nakuunga mkono kwa asilimia mia moja. Hizo fedha zinatoka wapi?. Ni bajeti ipi iliyotengwa kwa ajili ya uhamisho huo?.
 
🤣 hii dunia kweli mviringo 🤣

yaani watu wanaishi msomera wamelima hadi wamevuna mshupaza mshupaza shingo na mwenye kiburi hakuona haya yote tratraatsaaahh 🤣
Dalili nzuri zimeanza kuonekana kuhusu hatma ya nchi yetu kuondokana na upumbavu wenu. Sitakuwa na tatizo nawe tena kama ukiendelea na mipasho ya namna hii isiyo kuwa na madhara yoyote.

Lakini usijidanganye kuwa nipo mbali nawe, ukileta tena mambo ya ushetani na uvuta bangi humu sitakuacha utambe.
 
Nisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine.

Wasiwasi wangu isijekuwa tunapokea pesa toka nje kwa siri kugharamia operesheni hii kwa agenda za siri.

Ni wakati sasa kufahamu yaliyo sirini kwenye hii operesheni.
Tanzania: Sh16 billion distributed to households relocating from Ngorongoro Conservation Area
Friday, August 23, 2024
ZOEZI LA SEREKALI LA CONSERVATIONS!
 
Back
Top Bottom