Unaonekana hujui chochote kuhusu budget, kama hujui kitu acha wanaojua masuala ya budget watujuze, usituletee maneno ya taarabu hapa.yaani mambo ya maendeleo yapo kwenye utekelezaji wewe ndio unakurupuka kuuliza bageti ? kweli?🤣🤣
kuna watu wako primitive sana inchi tatata 🤣🤣
Jibu mujarabu kabisaMjomba ni Mama
Unamdanganya nan kwa hoja zako hz. Watu wa leo siyo wa mwaka 47. Tunafuatilia mambo kuliko miaka hiyoUnapata ugumu gani kutuwekea hapa hilo fungu la bajeti? Mbona barabara na hospitali zinazojengwa zinaainishwa wazi? Ni wizara gani iliyotengewa hiyo bajeti?
Kuwa na Bunge la hovyo namna hii ni matokeo ya uwepo wa dikteta uchwara from 2015-2021. Yule mzee aliliharibu sana hili taifa.Ila Bunge likiwa Butu raha sana Mana mtu unafanya unavyotaka na Hauna shaka ya watu kukuliza mana atakae thubutu kufanya ivo Jina lake 2025 litakatwa
Jibu hojaulifuatilia bunge kweli wewe?🐒
ulichokisoma ni nini hasa kwa mfano...
na jambo hili linasimamiwa na wizara zipi kwa mfano 🐒
kuna hoja hapo au ni uzubaifu tu katika kufuatilia mambo ya maendeleo katika nchi kwa karibuJibu hoja
Sasa issue ndogo tu hiyo ya typing error! Umeamua kucoment badala ya urekebishe tu!Mimi najua wanaenda msomera kumbe wamebadirisha ni msomero?
Duh!🤣🤣🤣🤣Hilo liko wazi kabisa lakini watu wameingiwa na woga wa kulisemea.. Ni nani anafadhili huu mradi? Most likely ni kutoka jangwaniView attachment 3078482
Dalili nzuri zimeanza kuonekana kuhusu hatma ya nchi yetu kuondokana na upumbavu wenu. Sitakuwa na tatizo nawe tena kama ukiendelea na mipasho ya namna hii isiyo kuwa na madhara yoyote.🤣 hii dunia kweli mviringo 🤣
yaani watu wanaishi msomera wamelima hadi wamevuna mshupaza mshupaza shingo na mwenye kiburi hakuona haya yote tratraatsaaahh 🤣
Tanzania: Sh16 billion distributed to households relocating from Ngorongoro Conservation AreaNisahihishwe, lakini nimejaribu kuisoma Budget ya serikali lakini sijaona mahali ambapo mabilioni yamepitishwa kuhamisha Wamaasai toka Ngorongoro kwenda Msomero Handeni wao na mifugo yao, kujengewa nyumba, ujenzi wa shule na zahanati kijijini hapo na miundo mbinu mingine.
Wasiwasi wangu isijekuwa tunapokea pesa toka nje kwa siri kugharamia operesheni hii kwa agenda za siri.
Ni wakati sasa kufahamu yaliyo sirini kwenye hii operesheni.