mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF,
Kilio cha siku nyingi bila mafanikio sasa kinaonekana kuwa kibaya zaidi baada ya watu wengi kuitikia wito wa kujenga nyumba kwenye viwanja vyao vilivyopo Tegeta boko bunju ununuo mbweni na mabwepande, Ni dhahiri shahili kuwa watu ni wengi hitajiko la soko kuu na barabara line mbili haziepukiki.
Kwa sasa msongamano wa magari Tegeta Bunju ni mkubwa kuliko mjini katikati. Unaweza ukatumia lisaa kutoka Bunju kuja Tegeta nyuki wakati huwa ni dakika kumi tu. Itoshe tu kusema Dk. Gwajima kama ujaomba soko kuu na barabara mbiki basi majigambo yako ya maendeleo ilikuwa kanjanja ya kuomba kula pande.