mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Sawa msemaji wa jiji dsmSoko la bunju litaimarishwa na mabasi ya Bagamoyo yataishia hapo.
Ukitaka kuwahi town ukitokea bunju ukifika Chama pita njia ya Ununio pale Mtongani unakunja ile barabara ya Mwamunyange.....chap kwa haraka town!
Hii njia ndio anayotumia Halima Mdee kutoka Mbweni kuwahi ofisini Ufipa!Sawa msemaji wa jiji dsm
Ova
Siku hizi napita huko ...hata kurudi nakula boda kupitia kunduchi nachomokea APC centre then narudi njia kuu! ImagineSoko la Bunju litaimarishwa na mabasi ya Bagamoyo yataishia hapo.
Ukitaka kuwahi town ukitokea bunju ukifika Chama pita njia ya Ununio pale Mtongani unakunja ile barabara ya Mwamunyange.....chap kwa haraka town!
Hapa tumeongezewa bajeti ya mafuta bila kupendaSiku hizi napita huko ...hata kurudi nakula boda kupitia kunduchi nachomokea APC centre then narudi njia kuu! Imagine
Sawa msemaji wa jiji tumekusikiaHii njia ndio anayotumia Halima Mdee kutoka Mbweni kuwahi ofisini Ufipa!
Ova!Sawa msemaji wa jiji tumekusikia
Ova
Pal,e kunduchi Kuna Ttope la volcano magari yatazamaSoko la Bunju litaimarishwa na mabasi ya Bagamoyo yataishia hapo.
Ukitaka kuwahi town ukitokea bunju ukifika Chama pita njia ya Ununio pale Mtongani unakunja ile barabara ya Mwamunyange.....chap kwa haraka town!
Gwajima kachaguliwa, kaingia madarakani kwa kasheshe 2 au 3, kwa sasa kimya kama maji ya mtungi!Wana JF,
Kilio cha siku nyingi bila mafanikio sasa kinaonekana kuwa kibaya zaidi baada ya watu wengi kuitikia wito wa kujenga nyumba kwenye viwanja vyao vilivyopo Tegeta boko bunju ununuo mbweni na mabwepande, Ni dhahiri shahili kuwa watu ni wengi hitajiko la soko kuu na barabara line mbili haziepukiki.
Kwa sasa msongamano wa magari Tegeta Bunju ni mkubwa kuliko mjini katikati. Unaweza ukatumia lisaa kutoka Bunju kuja Tegeta nyuki wakati huwa ni dakika kumi tu. Itoshe tu kusema Dk. Gwajima kama ujaomba soko kuu na barabara mbiki basi majigambo yako ya maendeleo ilikuwa kanjanja ya kuomba kula pande.