Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Wapi aliaga, weka hapa tuwe na matumaini atarudi
Niliwahi kusoma mahala kwamba atapumzika kidogo, zilikaa kama wiki tatu watu wakachafua mitandao na kusema kwisha habari yake, akaja kuibuka na mafurushi mengimengi.
Kabla ya hapo aliwahi sema ataibukia kipindi cha uchaguzi

My take: Umaarufu wa Kigogo2014..ni sababu ya uduanzi wa watanzania kupenda udaku. Taarifa nyingi anazotoa sioni kama zina madhara yoyote zaidi ya kuzubaisha watu akili.
 
hawampati huyu mwamba
 
Kuna wakati alikuwa anaibua vitu ambavyo vilikuwa vinasisimua!
 

You nailed It!
 
Deep state.

Nashawishika kuamini kuwa 'kigogo2014' ni mtu wa system.

Angekuwa mtu wa kawaida angeshadakwa siku nyingi sana. Kwa jinsi serikali ilivyo na resources zote, vyombo vyote vya ulinzi na usalama, pamoja na fedha, kama kigogo angekuwa raia wa kawaida angeshakamatwa na kunyamazishwa siku nyingi sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚ huyu jamaa mzimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…