Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Huyo alishafika bei siku nyingi akapewa chake, akaa pembeni. We wa wapi!? Mange Kimambi is an old news wala hana mpya
Sawa najua she is an old news. Ila kwa makosa aliyoyafanya kipindi cha nyuma kwani hawezi kutiwa hatiani?
Na pia nazungumzia pale alipokua ktk her prime mbona hakukamatwa ndio maana nkakuuliza kwani na yeye ni mtu wa system?! Kwa lugha nyingine nyepesi ili unielewe ni kua sio kwamba eti kutokukamatwa kwake huyo kigogo2014 au Mambe Kimavi wa zamani sio kwamba eti ni watu wa system.
 
Kwa trend iliyopo toka aanze kuandika vitu sensitive na top secret huko twitter ni rahisi sana kumtrace na kumpata ata kama atatumia darkweb, VPN, https,etc.
Maana kila taarifa anayoweka wazi ina access/security level. Kwa mfano attachment ya leo ya watu wa system waliopewa baraka ya System kugombea iliyokuwa addressed kwa DGIS ina access level zake. Si kila mtu anaweza kuandika directly kwa DGIS Diwani. Kuna level ukifikia ndo unakuwa cleread kuwasiliana directly na DGIS. Naamini unaninielewa. Na ukiwatrace wote walio na access hizo waweza 'discern' kigogo2014 ni nani. Maana attachment za top secrect 'siri' alizowahi bandika twitter ni nyingi sana na wote wenye access nazo wanajulikana.

Mind you hili bandiko lako au hii comment yako hapo juu naichukulia very seriously maana inaweza kuwa sehem ya spinning vile vile..na ukweli unaweza kuwa unaujua vile vile maana wewe pia ni 'wale wale' au kama sio 'wale wale' basi una affiliations nao.
Greetings from the 'other' side
Tchao
Best analysis
 
Hujanielewa. Iko hivi, kuna kumtambua muhusika ni nani na pia kuna kumkamata, hivi ni vitu viwili tofauti. Mange alikua nje ya nchi, nchi ya Kidemokrasia USA, kumkamata huko USA kwa makosa ya matusi mtandaoni, si rahisi ni almost haiwezekani maana ata Rais wao Trump kila kukicha anatukanwa na hamna chochote kinachotokea. Huko kuna uhuru halisi. Angekua TZ ni either angekua ashauawa au kifungo jela na wala msingemsikia tena. Kilichofanika ni mbinu za kidemokrasia za kibalozi kumuextradicate back to TZ, ziliposhindikana ikatuma njia the 'obvious' kwa maskini ambayo ni pesa. Walipofika bei, kalamba mlungula kakaa kimya..end of story. Case closed
 
Wacha nisiongee ila kuna mambo nadhan huyajui Kigogo sio mtu mzuri naona leo karudi baada ya kua Likizo Bali indonesia.
Thank you.

Wala hakuwa likizo.

I can confirm for fact either of the two below scenarios is true:

1. Kigogo2014 anatumika na watu wa 'kitengo' au 'waliowahi kuwa kwenye kitengo' kumuangusha DGIS wa sasa Diwani na kumuharibia credibility yake kwa Magufuli kwamba 'Diwani is not up to the job'

Au

2. Kigogo2014 anatumika na watu wasiokubaliana na utawala huu kumuangusha Magufuli mwenyewe.

Either of the 2 above is true
 
Hili la pili linaweza lisiwe jepesi kuliko la kwanza...
 
Hii ni aibu kwa tiss haiwezekan top secret kudukuliwa hivyo,, hua najiuliza hivi sis ni salama kweli mbele y'a uso wa kimataifa kama huyu jamaa ameweza kuingia na kudukua taarifa za wanakitengo kwa miaka sasa bila kutiwa nguvuni vip wale wapinzani wetu kimaendeleo na mabeberu kwa ujumla? Hivi tz tuko salama kweli? Naumia asee
 
Thank you.

Wala hakuwa likizo.

I can confirm for fact either of the two below scenarios is true:

1. Kigogo2014 anatumika na watu wa 'kitengo' au 'waliowahi kuwa kwenye kitengo' kumuangusha DGIS wa sasa Diwani na kumuharibia credibility yake kwa Magufuli kwamba 'Diwani is not up to the job'

Au

2. Kigogo2014 anatumika na watu wasiokubaliana na utawala huu kumuangusha Magufuli mwenyewe.

Either of the 2 above is true

Kwa mtazamo wa wengi, nadhani hiyo namba 2 inabeba uzito mkubwa zaidi kuliko hiyo namba 1. Uzuri hata enzi za JK, tulishuhudia Katibu Mkuu wa Chadema kwa wakati huo Dr. Slaa na David Kafulila, wakimiliki nyaraka nyeti za kila aina zilizoihusu Serikali! zikiwemo za ufisadi, za kusaini mikataba ya kimangungo, nk.

Walizipata wapi kwa wakati huo? Lazima tu walizipata kwa watunza siri wa Serikali ambao eidha ni wazalendo kwa Nchi yao, au ni wale waliokosa kabisa vifua vya kutunza SIRI za Serikali ingawa wapo kwenye Vitengo nyeti.
 
Aisee hii ni hatari kubwa kama nyaraka muhimu na za siri zinavuja na Kuanikwa hadharan hiv kweli,serikali inathibitisha haiwezi kabisa kuzuia hizi mambo za kigogo,idara inaonekana inafanya kazi kwa mazoea kabisa,,ila kwa kweli sikuwahi kujua kabisa kwamba masele ni kitengo
 
Kwa trend iliyopo toka aanze kuandika vitu sensitive na top secret huko twitter ni rahisi sana kumtrace na kumpata ata kama atatumia darkweb, VPN, https,etc.
Maana kila taarifa anayoweka wazi ina access/security level. Kwa mfano attachment ya leo ya watu wa system waliopewa baraka ya System kugombea iliyokuwa addressed kwa DGIS ina access level zake. Si kila mtu anaweza kuandika directly kwa DGIS Diwani. Kuna level ukifikia ndo unakuwa cleread kuwasiliana directly na DGIS. Naamini unaninielewa. Na ukiwatrace wote walio na access hizo waweza 'discern' kigogo2014 ni nani. Maana attachment za top secrect 'siri' alizowahi bandika twitter ni nyingi sana na wote wenye access nazo wanajulikana.

Mind you hili bandiko lako au hii comment yako hapo juu naichukulia very seriously maana inaweza kuwa sehem ya spinning vile vile..na ukweli unaweza kuwa unaujua vile vile maana wewe pia ni 'wale wale' au kama sio 'wale wale' basi una affiliations nao.
Greetings from the 'other' side
Tchao
Mkuu hata ukisema hiyo document awe nayo Diwani na Magu jamaa atainyakaa tuu sasa sijui hapo utamlaumu nani[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Aisee hii ni hatari kubwa kama nyaraka muhimu na za siri zinavuja na Kuanikwa hadharan hiv kweli,serikali inathibitisha haiwezi kabisa kuzuia hizi mambo za kigogo,idara inaonekana inafanya kazi kwa mazoea kabisa,,ila kwa kweli sikuwahi kujua kabisa kwamba masele ni kitengo
Haa ha ...Kitengo kakatwaa chap!! Ndugai kamponzaa kashaachia ubunge kwenyw bunge la Africa Mashariki..!! Document za TISS kigogo anafungia maandazi hatari sana
 
Wewe watumia internet ya kawaida ambayo ni 2% ya internet wenzio wako 98% ambayo kuna dark web au deep web huko kuna watu wako encrypted huwez kuwa trace kwa namna yoyote hakuna cha system wala systeme
Bado watu mna complicate vitu sana, hakuna haja ya kutumia deep web au dark web, VPN is just enough kuweza kuwapoteza watu.

Shida watu wamepoteza focus wanadhani anayetakiwa kuwa hacked ni kigogo2014 while the hardest thing hapo ni kupenetrate au kuhack mtandao wa Twitter ndo upate taarifa za kigogo ambaye pia anaweza akawa ametumia fake email and everything, on top of that akawa ana access kwa kupitia vpn.

Just to be short, the Government can not hack Twitter and if that is the case kumpata huyu mtu ni haiwezekani.
 
Kwa trend iliyopo toka aanze kuandika vitu sensitive na top secret huko twitter ni rahisi sana kumtrace na kumpata ata kama atatumia darkweb, VPN, https,etc.
Maana kila taarifa anayoweka wazi ina access/security level. Kwa mfano attachment ya leo ya watu wa system waliopewa baraka ya System kugombea iliyokuwa addressed kwa DGIS ina access level zake. Si kila mtu anaweza kuandika directly kwa DGIS Diwani. Kuna level ukifikia ndo unakuwa cleread kuwasiliana directly na DGIS. Naamini unaninielewa. Na ukiwatrace wote walio na access hizo waweza 'discern' kigogo2014 ni nani. Maana attachment za top secrect 'siri' alizowahi bandika twitter ni nyingi sana na wote wenye access nazo wanajulikana.

Mind you hili bandiko lako au hii comment yako hapo juu naichukulia very seriously maana inaweza kuwa sehem ya spinning vile vile..na ukweli unaweza kuwa unaujua vile vile maana wewe pia ni 'wale wale' au kama sio 'wale wale' basi una affiliations nao.
Greetings from the 'other' side
Tchao
Dogo acha kujifanya unamtisha mwenzio
 
Back
Top Bottom