Bado watu mna complicate vitu sana, hakuna haja ya kutumia deep web au dark web, VPN is just enough kuweza kuwapoteza watu.
Shida watu wamepoteza focus wanadhani anayetakiwa kuwa hacked ni kigogo2014 while the hardest thing hapo ni kupenetrate au kuhack mtandao wa Twitter ndo upate taarifa za kigogo ambaye pia anaweza akawa ametumia fake email and everything, on top of that akawa ana access kwa kupitia vpn.
Just to be short, the Government can not hack Twitter and if that is the case kumpata huyu mtu ni haiwezekani.