Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

kuna mtu twitter siku mbili kabla ya kigogo kuonyesha kurudi huko twitter... yeye alitweet kwamba... siku kadhaa zijazo kuna akaunti ya mtu maarufu itaanza kutweet baada ya kupotea muda mrefu... na target ni upinzani...
Anatumia jina mkuu, hata inbox
 
tulisikia huko siku za nyuma Twitter accounts za watu kama Zitto Kabwe, Sugu, nk zilikuwa hacked..... hii imekaaje kwa context ya comments zako hapo juu?
Kwa personal account ni very simple kuwa hacked, mtu anaweza kudisclose password kwa mtu wa karibu, akasahau kulog out kwenye device aliyotumia kama laptop, tablet etc na mtu mwingine akaingia na kufanya yake.

Watu wengi hawa apply physical security kwenye personal devices wanazotumia kuaccess network resources, kumruhusu tu mtu mwingine kugusa devices zako ni very risk ndio maana utaona server rooms zina very strong physical security.

Sometimes kuna ile option ya 'remember password' watu wengi huiacha iko ticked kwa hiyo kwa kutumia device hiyo mtu mwingine anaweza kulog in kwenye account ya mtu kirahisi tu.

Kimsingi kwenye IT security, the most difficult resource to protect ni user kwa hiyo hata kwako mlinzi namba moja ni wewe kabla ya system kukupa ulinzi. Kwa hiyo user akiwa makini na akachanganya na IT security systems, kumhack inaanza kuwa jambo gumu kidogo.
 
Huyo ni kati ya walewale wanaoitumia hiyo account! Niliwahi kupigwa block, na Chahali na Kigogo kwa wakati mmoja wakati huo sijacoment wala kupost chochote.
nami niliwahi kuwaza hivyo siku moja... ukiwafuatilia kwa makini... kuna muda huwa anajichanganya...
mfano... account ya kigogo ipo on fire now... na account ya chahali imepoa kwa siku hizi mbili...
the same account ya kigogo ilipopotea account ya chahali ilikuwa imechangamka
 
kuna mtu twitter siku mbili kabla ya kigogo kuonyesha kurudi huko twitter... yeye alitweet kwamba... siku kadhaa zijazo kuna akaunti ya mtu maarufu itaanza kutweet baada ya kupotea muda mrefu... na target ni upinzani...
Nani uyo?
 
Kwa personal account ni very simple kuwa hacked, mtu anaweza kudisclose password kwa mtu wa karibu, akasahau kulog out kwenye device aliyotumia kama laptop, tablet etc na mtu mwingine akaingia na kufanya yake.

Watu wengi hawa apply physical security kwenye personal devices wanazotumia kuaccess network reaources, kumruhusu tu mtu mwingine kugusa devices zako ni very risk ndio maana utaona server rooms zina very strong physical security.

Sometimes kuna ile option ya 'remember password' watu wengi huiacha iko ticked kwa hiyo kwa kutumia device hiyo mtu mwingine anaweza kulog in kwenye account ya mtu kirahisi tu.

Kimsingi kwenye IT security, the most difficult resource to protect ni user kwa hiyo hata kwako mlinzi namba moja ni wewe kabla ya system kukupa ulinzi. Kwa hiyo user akiwa makini na akachanganya na IT security systems, kumhack inaanza kuwa jambo gumu kidogo.
huu sasa utakuwa ni uzembe wa mtu mwenyewe and not uwezo wa hackers.
na mimi ndivyo nilivyokuwa najua siku zote kwa upande wa platforms like Twitter.
 
Yaani hapa kama umenisema mimi, maana simu yangu mtu akichukua anaingia kila anakotaka.

Kuna ile tabia mtu unaona uvivu kulog in kila wakati kwa hiyo unaweka remember my passwords, au stay logged in.
 
Hizo sio only ways za kuhack account ya mtu, nilikuwa najaribu kuonesha chache za kizembe ambazo hata haziitaji professional hacker.

Infact kuna very advanced multiple ways za hacking, ila inapokuja kwenye social networks na platforms zingine, hacking ni ngumu sababu zinatumika very advanced security means ili kulinda integrity, authenticity na confidenciality ya data. Otherwise watu hawatatumia mtandao wako kama uko exposed to security threats like hacking.
 
nami niliwahi kuwaza hivyo siku moja... ukiwafuatilia kwa makini... kuna muda huwa anajichanganya...
mfano... account ya kigogo ipo on fire now... na account ya chahali imepoa kwa siku hizi mbili...
the same account ya kigogo ilipopotea account ya chahali ilikuwa imechangamka
Halafu Kigogo na Chahali wote wanahasira sana huwa hawataki kubishwa kwa chochote.
 
Yaani hapa kama umenisema mimi, maana simu yangu mtu akichukua anaingia kila anakotaka.

Kuna ile tabia mtu unaona uvivu kulog in kila wakati kwa hiyo unaweka remember my passwords, au stay logged in.
Ha haaaa, hiyo ni wengi kwa kweli hata me pia nafanyaga huo uzembe sometimes ingawa najua madhara yake, unakuta unaingia mtandaoni mara umerudi kufanya kazi mara umeingia road basi tabu tupu.

Kuacha ukiwa logged in wakati hautumii inarahisisha mwanya wa hacker kugain access account ikiwa kwenye idle state.
 
Kwa trend iliyopo toka aanze kuandika vitu sensitive na top secret huko twitter ni rahisi sana kumtrace na kumpata ata kama atatumia darkweb, VPN, https,etc.
Maana kila taarifa anayoweka wazi ina access/security level. Kwa mfano attachment ya leo ya watu wa system waliopewa baraka ya System kugombea iliyokuwa addressed kwa DGIS ina access level zake. Si kila mtu anaweza kuandika directly kwa DGIS Diwani. Kuna level ukifikia ndo unakuwa cleread kuwasiliana directly na DGIS. Naamini unaninielewa. Na ukiwatrace wote walio na access hizo waweza 'discern' kigogo2014 ni nani. Maana attachment za top secrect 'siri' alizowahi bandika twitter ni nyingi sana na wote wenye access nazo wanajulikana.

Mind you hili bandiko lako au hii comment yako hapo juu naichukulia very seriously maana inaweza kuwa sehem ya spinning vile vile..na ukweli unaweza kuwa unaujua vile vile maana wewe pia ni 'wale wale' au kama sio 'wale wale' basi una affiliations nao.
Greetings from the 'other' side
Tchao
Kama ni rahisi sana kumtrace na kumkamata sasa wanasubiri nini?
 
tulisikia huko siku za nyuma Twitter accounts za watu kama Zitto Kabwe, Sugu, nk zilikuwa hacked..... hii imekaaje kwa context ya comments zako hapo juu?
Siwezi bisha au kukataa kwamba wamekua hacked au walikua wanatafuta umaarufu wa kisiasa na baada ya upepo kuwa mbaya kwao wakasingizia wamekua hacked.

Unajua mtu akisema amekua hacked inabidi awe na evidence otherwise huo unakua uongo kama uongo mwingine.

In most cases watu wengi tunaingia mtego wa ku disclose credentials zetu kwa hackers sababu ya ignorance. Kinachotokea mara nyingi ni social engineering attacks za kitoto ambazo tunaita phishing ambapo mtu anakutumia link ambayo ukiifungua unadhani upo Twitter au facebook au any other website ya kweli. Na wewe bila kujua unajaza taarifa zako ambazo ni username and password. Ukishafanya hivyo huyu social engineering attacker unakua umempa credentials zako na anaweza kuingia kwenye account yako. This means huyu mtu haja penetrate kwenye severs za Twitter bali umempa login details zako bila kujua.

Unajua watu wengi hawa maarufu huwa hawana uelewa wa mambo ya kimtandao unakuta hata google mail nayo kafunguliwa hata kureset password hawezi nakadhalika. Sishangai mtu kama zito kutumia email ikimwambia a verify account yake vinginevyo inafungwa na akafanya kwa kuweka username yake na password na mwisho wa siku kumbe ilikua fake site.

Hizo attacks tunapata sana lakini kama wewe una ujinga kichwani (namaanisha ignorance) lazima uingie cha kike tu.

Hitimisho: Huyo kigogo2014 huwezi mpata kwa attacks kama hizo, hata umtumie document ujifanye ni pdf au word au excel naamini anajua kusoma kama hiyo ni executable file au vbs file au bat file au java script file au pdf file. Tusiwe wavivu wa kujisomea haya mambo kwenye mitandao jamani.

Pia kuepukana na vitu vya hivyo ni vizuri tuka transform kwenda kwenye 2way authentication, nikiwa na maana hata kama umegawa password yako bado mtu hawezi kuingia unless otherwise awe na namba yako ya cm au any linked devise au access ya email address yako (something which is not possible).
 
sawa.
ujinga au uzembe are the two buzzwords here!
 
Back
Top Bottom