Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Waambie huenda wakauelewa maana aliwahi tweet akawaambia mmetuma watu kwenda kusoma wanikamate bado hamniwezi.
Kazi bado ni kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Bado watu mna complicate vitu sana, hakuna haja ya kutumia deep web au dark web, VPN is just enough kuweza kuwapoteza watu.

Shida watu wamepoteza focus wanadhani anayetakiwa kuwa hacked ni kigogo2014 while the hardest thing hapo ni kupenetrate au kuhack mtandao wa Twitter ndo upate taarifa za kigogo ambaye pia anaweza akawa ametumia fake email and everything, on top of that akawa ana access kwa kupitia vpn.

Just to be short, the Government can not hack Twitter and if that is the case kumpata huyu mtu ni haiwezekani.
Huhitaji kuhack mtandao kumjua mtu unayemhitaji. Unahitaji kujua tu location yake tu kwamba yuko wapi basi. Minara ya mawasiliano yote ina namba kama hizi tunazotumia kwenye simu. Mawasiliano yote ya mitandao wanayotumia watu ndani na nje ya nchi, namba za devices zinazotumika zinajulikana, pamoja na location pia. Issue ya mtu kama huyu kushindikana kukamatwa labda iwe ni kutokana na kulindwa na mamlaka za nchi aliko, na si vinginevyo. Tuseme labda kama yuko Kenya, basi Serikali ya huko iamue kumlinda na kumuwekea kinga ya kukamatwa. Huhitaji ku-hack facebook kumjua au kumkamata mtu anayeleta shida kupitia facebook

Na nilishasema siku zote humu jukwaani kuwa ni layman tu anayeweza akaleta fujo kupitia mtandao wa internet
 
  • Huhitaji kuhack mtandao kumjua mtu unayemhitaji. Unahitaji kujua tu location yake tu kwamba yuko wapi basi. Minara ya mawasiliano yote ina namba kama hizi tunazotumia kwenye simu. Mawasiliano yote ya mitandao wanayotumia watu ndani na nje ya nchi, namba za devices zinazotumika zinajulikana, pamoja na location pia. Issue ya mtu kama huyu kushindikana kukamatwa labda iwe ni kutokana na kulindwa na mamlaka za nchi aliko, na si vinginevyo. Tuseme labda kama yuko Kenya, basi Serikali ya huko iamue kumlinda na kumuwekea kinga ya kukamatwa. Huhitaji ku-hack facebook kumjua au kumkamata mtu anayeleta shida kupitia faceboo.k

Na nilishasema siku zote humu jukwaani kuwa ni layman tu anayeweza akaleta fujo kupitia mtandao wa internet
Wallah we hakuna kitu unajua......ndo Mana umeambiwa VPN tu inatosha kuwa drive watu crazy....hapa naamanisha VPN za viwango za kulipia....
 
VPN haiwezi kumfanya asijulikane kuwa anatumia network ID ipi, isipokuwa itamsaidia tu kufanya mawasiliano yake pasipo kukamatwa muda huo huo, atakuja kukamatwa baadaye. Yeye kama mtu binafsi, hana uwezo wa kutumia VPN yenye "high level of encryption" kiasi cha Network ID ya VPN hiyo kushindwa kujulikana na wataalamu wa mamlaka za usalama . Kumbuka pia kuwa Polisi wambao huwa wanafuatilia mambo haya wana utaalamu wa hali ya juu sana kwenye eneo hili la mambo ya Cyber Crimes, na si laymen tu kama nilivyo mimi hapa
Unless kama hujuma ya aina hii inafanywa na mtu kwa kupitia kwenye organisation fulani ambayo ina utaalamu wa haya mambo, hapo naweza kukubali, ila kwa mtu binafsi tu ambaye naye anategema huduma kutoka kwa ISP, hawezi kuwa na utaalamu wowote wa kuficha Netwok ID. Na ninachosema mimi hapa ni kwamba Network ID ikishajulikana, tayari na location nayo inajulikana na hivyo lazima atakamatwa tu
 
Mkuu ingekua rahisi hivo waromania na waisrael wangesha mshika.....ata wew Apo mi nijikoki na tools zangu afu uone kama utaninusa
 
Hana uwezo..?!! Watu wengine wanaweza iweje yeye ashindwe. ?
 
Mkuu ingekua rahisi hivo waromania na waisrael wangesha mshika.....ata wew Apo mi nijikoki na tools zangu afu uone kama utaninusa
Anahatarisha vipi maslahi ya Waromania na waisrael?
 
Mkuu ingekua rahisi hivo waromania na waisrael wangesha mshika.....ata wew Apo mi nijikoki na tools zangu afu uone kama utaninusa
Alishakamatwa. Siyo rahisi kutokukamatwa. Kama hajakamatwa basi yuko nyuma ya organisation inayomlinda kumfichia mawasiliano yake. Huwezi kujificha kwenye network wewe kama normal user, unless watu wenye mamlaka na network hiyo waamue kukuficha. Kama hajakamatwa basi kuna watu wanaficha mawasiliano yake kwenye network hiyo ambayo huwa anatumia!
 
Serikali ya Tanzania haijui mambo ya mtandao sana. Mpaka urais wa Kikwete Ikulu ilikuwa inatumia emails za Yahoo na Gmail.
 
Sidhani Km ni mtu mmoja. Ni kundi la watu. Sasa mkisema amekamatwa badala ya akina kigogo wamekamatwa mnakosea. Haiwezekani hadi saa 8 au 9 usiku Yeye Ana twit tu. Ina maana wanapokezana.
 
For iphone
For ipad
For android
N.k

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wapo wengi nyumbu walee
 
Serikali ya Tanzania haijui mambo ya mtandao sana. Mpaka urais wa Kikwete Ikulu ilikuwa inatumia emails za Yahoo na Gmail.
Mabosi wakubwa ambao ni wana Siasa labda ndiyo ambao hawajui, lakini naamini vijana wengi tu kizazi cha dotcom ndani ya JWTZ na Polisi watakuwa wako safi sana kwenye haya mambo ya Cyber Crime
 
Huhitaji kuhack mtandao kumjua mtu unayemhitaji. Unahitaji kujua tu location yake tu kwamba yuko wapi basi. Minara ya mawasiliano yote ina namba kama hizi tunazotumia kwenye simu. Mawasiliano yote ya mitandao wanayotumia watu ndani na nje ya nchi, namba za devices zinazotumika zinajulikana, pamoja na location pia. Issue ya mtu kama huyu kushindikana kukamatwa labda iwe ni kutokana na kulindwa na mamlaka za nchi aliko, na si vinginevyo. Tuseme labda kama yuko Kenya, basi Serikali ya huko iamue kumlinda na kumuwekea kinga ya kukamatwa. Huhitaji ku-hack facebook kumjua au kumkamata mtu anayeleta shida kupitia facebook

Na nilishasema siku zote humu jukwaani kuwa ni layman tu anayeweza akaleta fujo kupitia mtandao wa internet
Nimesoma comment zako zote hadi mwisho nimegundua kwamba wewe ni hopeless kabisa and you know nothing about internet.

Nakupa homework ya kujisomea kwanza hivi vitu halafu urudi tena jukwaani. Si ajabu hata email address yako na Jamii forum account ulifunguliwa na mtu.

Tafuta maana ya hivi vitu.

1. Internet
2. Email
3. Browser
4. Cellular Network
5. Cellular Tower
6. SMS
7. MMS
8. Voice Call
9. Mobile Data
10. VPN
11. Remote Desktop
12. Proxy

Leta definitions tu zinatosha.

Naomba nikufahamishe tu kwamba the information ambayo cellular network provider anaweza kukupa ni cellular location peke yake na ataipata tu pale mtu atakapo piga au kupigiwa cm na akapokea.

Mtu huyu asipopokea cm wala kupiga cm ikapokelewa basi kamwe huwezi pata mnara wa cm ambao anatumia.

Akiamua awasiliane tu kwa sms au kwa njia nyingine ya internet basi ni haiwezekani tena kumpata unless otherwise labda una software umemwekea katika cm yake ambayo uta mremote pale atakapokua na data on.

Hao watu wa cyber crime njia wanayotumia kupata location ni kwa kutumia hizo cellular towers na namba ambazo mtu huyo anawasiliana nazo kwa kutengeneza communication matrix na kuanza na mtu wa mbali ambaye hakujui mpaka mtu yule ambae anawasiliana na wewe ili kukukamata.

Unatema sana pumba braza cjui dada, kwenye sehemu kama hizi ni vizuri kuficha ujinga wako.

Asante
 
majigambo kibaao point sifuri.

dunia unayoijua wewe haijakuachia uhuru kiasi hicho unachoamini,wataalamu wenyewe duniani huko wanajua madhara ya kuweka chochoro nyembamba zitakazowashindwa wenyewe watakapokuwa na shida ya kupita tena.

na kama unahisi serikali inawezashindwa na mtu mmoja bado unawaza kitoto sana.kigogo sio mgunduzi wa web,kama amekosekana kabisa mtu nchini wa kudeal naye hata wangelipwa watu nje kwa kazi hiyo.

lakini kama nawewe ni mtulivu wa akili hiyo acc ya kigogo ina walakini na ile ya mwanzo.kuna tatizo,sijui.
 
Out of point kabisa

Are we talking about dunia au Tanzanian Government?

Usihamishe dishi aisee, are we the manufactures wa mobile phone? Are we developers wa OS yoyote ile ya cm au computer mpaka utetemeke kwamba they can get u?

This was very simple kwa serikali ya USA sababu ndo nchi inayo inayo host website nyingi duniani.

Highlight sehemu ambayo nimemtaja Kigogo kwenye quote yako.

Nipinge kwa nilichoandika au kwa nilichomjibu mto mada hapo juu. Naomba unieleze wapi nimekosea au nimedanganya kwenye post uliyoniquote otherwise na wewe utakua wale wale mnaondika msivyovijua.
 
haya
 
Huhitaji kuhack mtandao kumjua mtu unayemhitaji. Unahitaji kujua tu location yake tu kwamba yuko wapi basi. Minara ya mawasiliano yote ina namba kama hizi tunazotumia kwenye simu. Mawasiliano yote ya mitandao wanayotumia watu ndani na nje ya nchi, namba za devices zinazotumika zinajulikana, pamoja na location pia. Issue ya mtu kama huyu kushindikana kukamatwa labda iwe ni kutokana na kulindwa na mamlaka za nchi aliko, na si vinginevyo. Tuseme labda kama yuko Kenya, basi Serikali ya huko iamue kumlinda na kumuwekea kinga ya kukamatwa. Huhitaji ku-hack facebook kumjua au kumkamata mtu anayeleta shida kupitia facebook

Na nilishasema siku zote humu jukwaani kuwa ni layman tu anayeweza akaleta fujo kupitia mtandao wa internet
Unaijua VPN mzee?? mtu akiwa nayo hii tu , yani yenyewe tu humpati hata iweje, mfano mm natumia hiyo, inaonyesha niko Netherlands, kusema utatumia IP address uweze kupata mtu utampata tu kama hana security kwenye devices zake, kama zipo jasho litakutoka na hutompata
 
VPN haiwezi kumfanya asijulikane kuwa anatumia network ID ipi, isipokuwa itamsaidia tu kufanya mawasiliano yake pasipo kukamatwa muda huo huo, atakuja kukamatwa baadaye. Yeye kama mtu binafsi, hana uwezo wa kutumia VPN yenye "high level of encryption" kiasi cha Network ID ya VPN hiyo kushindwa kujulikana na wataalamu wa mamlaka za usalama . Kumbuka pia kuwa Polisi wambao huwa wanafuatilia mambo haya wana utaalamu wa hali ya juu sana kwenye eneo hili la mambo ya Cyber Crimes, na si laymen tu kama nilivyo mimi hapa
Unless kama hujuma ya aina hii inafanywa na mtu kwa kupitia kwenye organisation fulani ambayo ina utaalamu wa haya mambo, hapo naweza kukubali, ila kwa mtu binafsi tu ambaye naye anategema huduma kutoka kwa ISP, hawezi kuwa na utaalamu wowote wa kuficha Netwok ID. Na ninachosema mimi hapa ni kwamba Network ID ikishajulikana, tayari na location nayo inajulikana na hivyo lazima atakamatwa tu
ISP wenyewe hawana uwezo wa kuku trace, hiyo network ID unatolea wapi?
 
Back
Top Bottom