Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Kigogo yupi!!!au yule anaepiga spana???
FB_IMG_1595427665312.jpg
 
Bado watu mna complicate vitu sana, hakuna haja ya kutumia deep web au dark web, VPN is just enough kuweza kuwapoteza watu.

Shida watu wamepoteza focus wanadhani anayetakiwa kuwa hacked ni kigogo2014 while the hardest thing hapo ni kupenetrate au kuhack mtandao wa Twitter ndo upate taarifa za kigogo ambaye pia anaweza akawa ametumia fake email and everything, on top of that akawa ana access kwa kupitia vpn.

Just to be short, the Government can not hack Twitter and if that is the case kumpata huyu mtu ni haiwezekani.
Waambie huenda wakauelewa maana aliwahi tweet akawaambia mmetuma watu kwenda kusoma wanikamate bado hamniwezi.
Kazi bado ni kubwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[SUB]Ndiyo yule yule mzee, sema huyu jamaa ni mtalaam sana kwa IT ni vingumu sana kumnasa.. Kama MTU anatumia tool kama hizi mnafikiri ni rahisi kumkamata?View attachment 1555788[/SUB]
Kigogo wa mwanzo alikuwa atanii wala hasubirishi... akisema nafanya anafanya... akisema naleta analeta... lakini huyu wa sasa... anachofanya ni kutokupoteza wafuasi wa akaunti ya Kigogo.... pengine kwa matumizi mengine...

Kuna mahali serikali wamefanikiwa kumdhibiti Kigogo... hongera sana kwao
 
kigogo wa mwanzo alikuwa atanii wala hasubirishi... akisema nafanya anafanya... akisema naleta analeta... lakini huyu wa sasa... anachofanya ni kutokupoteza wafuasi wa akaunti ya kigogo.... pengine kwa matumizi mengine...

kuna mahali serikali wamefanikiwa kumdhibiti kigogo... hongera sana kwao
Sio kweli,tokea mwanzo alikuwa controversial ni kama vile acc sio ya mtu mmoja.Kujambisha kawaida yake.
 
Kigogo wa mwanzo alikuwa atanii wala hasubirishi... akisema nafanya anafanya... akisema naleta analeta... lakini huyu wa sasa... anachofanya ni kutokupoteza wafuasi wa akaunti ya Kigogo.... pengine kwa matumizi mengine...

Kuna mahali serikali wamefanikiwa kumdhibiti Kigogo... hongera sana kwao
Jipe moyoo[emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom