Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Mabosi wakubwa ambao ni wana Siasa labda ndiyo ambao hawajui, lakini naamini vijana wengi tu kizazi cha dotcom ndani ya JWTZ na Polisi watakuwa wako safi sana kwenye haya mambo ya Cyber Crime
Mimi nawajua, wakati jeshi la Polisi linaanza kusomesha watu mambo ya ICT nilikuwa na hang nao, mimi nilikuwa nawapa sana vitabu vya programming, soft copies, na mpaka leo ninawasiliana nao.

Tuna matatizo kuanzia kwenye legal framework, vitendea kazi mpaka watu kutaminiwa tu.
 
Alishakamatwa. Siyo rahisi kutokukamatwa. Kama hajakamatwa basi yuko nyuma ya organisation inayomlinda kumfichia mawasiliano yake. Huwezi kujificha kwenye network wewe kama normal user, unless watu wenye mamlaka na network hiyo waamue kukuficha. Kama hajakamatwa basi kuna watu wanaficha mawasiliano yake kwenye network hiyo ambayo huwa anatumia!
Ameshakamatwa mkuu
 
Nimesoma comment zako zote hadi mwisho nimegundua kwamba wewe ni hopeless kabisa and you know nothing about internet.

Nakupa homework ya kujisomea kwanza hivi vitu halafu urudi tena jukwaani. Si ajabu hata email address yako na Jamii forum account ulifunguliwa na mtu.

Tafuta maana ya hivi vitu.

1. Internet
2. Email
3. Browser
4. Cellular Network
5. Cellular Tower
6. SMS
7. MMS
8. Voice Call
9. Mobile Data
10. VPN
11. Remote Desktop
12. Proxy

Leta definitions tu zinatosha.

Naomba nikufahamishe tu kwamba the information ambayo cellular network provider anaweza kukupa ni cellular location peke yake na ataipata tu pale mtu atakapo piga au kupigiwa cm na akapokea.

Mtu huyu asipopokea cm wala kupiga cm ikapokelewa basi kamwe huwezi pata mnara wa cm ambao anatumia.

Akiamua awasiliane tu kwa sms au kwa njia nyingine ya internet basi ni haiwezekani tena kumpata unless otherwise labda una software umemwekea katika cm yake ambayo uta mremote pale atakapokua na data on.

Hao watu wa cyber crime njia wanayotumia kupata location ni kwa kutumia hizo cellular towers na namba ambazo mtu huyo anawasiliana nazo kwa kutengeneza communication matrix na kuanza na mtu wa mbali ambaye hakujui mpaka mtu yule ambae anawasiliana na wewe ili kukukamata.

Unatema sana pumba braza cjui dada, kwenye sehemu kama hizi ni vizuri kuficha ujinga wako.

Asante
Una mbwembwe nyingi kumbe hujui chochote mkuu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Out of point kabisa

Are we talking about dunia au Tanzanian Government?

Usihamishe dishi aisee, are we the manufactures wa mobile phone? Are we developers wa OS yoyote ile ya cm au computer mpaka utetemeke kwamba they can get u?

This was very simple kwa serikali ya USA sababu ndo nchi inayo inayo host website nyingi duniani.

Highlight sehemu ambayo nimemtaja Kigogo kwenye quote yako.

Nipinge kwa nilichoandika au kwa nilichomjibu mto mada hapo juu. Naomba unieleze wapi nimekosea au nimedanganya kwenye post uliyoniquote otherwise na wewe utakua wale wale mnaondika msivyovijua.
Kwa taarifa yako tu... Huyo jamaa yenu Tweeter yupo nguvuni [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mabosi wakubwa ambao ni wana Siasa labda ndiyo ambao hawajui, lakini naamini vijana wengi tu kizazi cha dotcom ndani ya JWTZ na Polisi watakuwa wako safi sana kwenye haya mambo ya Cyber Crime

Bwanawee, nimefanya kazi taasisi za kifedha na hao watu wa cyber crime (financial cyber crimes) ni weupe sana, huenda ni wale niliokutana nao na kwakua walikua wanatoka makao makuu, ilitosha kunipa picha nzima ya weledi wao.

Siongelei sana jeshini sina uzoefu nao.
 
Kumkamata Kigogo haihitaji utaalam sana. Hasa hasa kama hakujiweka kwenye mazingira ya kihalifu tokea awali. Lazima kuna watu wanamfahamu.
 
Nimesoma comment zako zote hadi mwisho nimegundua kwamba wewe ni hopeless kabisa and you know nothing about internet.

Nakupa homework ya kujisomea kwanza hivi vitu halafu urudi tena jukwaani. Si ajabu hata email address yako na Jamii forum account ulifunguliwa na mtu.

Tafuta maana ya hivi vitu.

1. Internet
2. Email
3. Browser
4. Cellular Network
5. Cellular Tower
6. SMS
7. MMS
8. Voice Call
9. Mobile Data
10. VPN
11. Remote Desktop
12. Proxy

Leta definitions tu zinatosha.

Naomba nikufahamishe tu kwamba the information ambayo cellular network provider anaweza kukupa ni cellular location peke yake na ataipata tu pale mtu atakapo piga au kupigiwa cm na akapokea.

Mtu huyu asipopokea cm wala kupiga cm ikapokelewa basi kamwe huwezi pata mnara wa cm ambao anatumia.

Akiamua awasiliane tu kwa sms au kwa njia nyingine ya internet basi ni haiwezekani tena kumpata unless otherwise labda una software umemwekea katika cm yake ambayo uta mremote pale atakapokua na data on.

Hao watu wa cyber crime njia wanayotumia kupata location ni kwa kutumia hizo cellular towers na namba ambazo mtu huyo anawasiliana nazo kwa kutengeneza communication matrix na kuanza na mtu wa mbali ambaye hakujui mpaka mtu yule ambae anawasiliana na wewe ili kukukamata.

Unatema sana pumba braza cjui dada, kwenye sehemu kama hizi ni vizuri kuficha ujinga wako.

Asante
Kama unajua jambo, kwa nini kua-argue kwa hasira? Unataka unalazimisha hoja siyo?
Nimesoma CCNA miezi 7 pale UDSM, kabla hujaanza hata kutumia hizo cellular netwok zako unazisema. Ninaposema kwamba mimi ni layman, "usinichukulie poa", I'm professional, japo sifanyi kazi hizo kwa sasa. Najua ninachokiongea hapa.
By the way, kuna uzi humu uliwahi kutrend siku za nyuma, kuna mtu alikuwa anatafutwa na mamlaka za dola, akamua kwenda nchi jirani halafu simu yake akampa mtu alikuwa anasafairi kwa basi kuja Dar. Unadhani kwa nini mtu huyu aliamua kufanya hivyo?
Na ninaomba nikupe tu uhakika kuwa mimi nikisoma kitu "huwa sibabaishi"
 
Bwanawee, nimefanya kazi taasisi za kifedha na hao watu wa cyber crime (financial cyber crimes) ni weupe sana, huenda ni wale niliokutana nao na kwakua walikua wanatoka makao makuu, ilitosha kunipa picha nzima ya weledi wao.

Siongelei sana jeshini sina uzoefu nao.
Unajua wakati mwingine wanaweza kuwa wanafanyaje kazi? Wakishakujua mtu ambaye uko advanced kwenye jambo kama hilo, na uko trsurtworth kwamba ni mzalendo, they can easily hire you na huwezi kukataa kuwapa a helping hand kwa sababu jambo wanalofanya linakuwa ni la manufaa si kwako tu, bali kwako na kwa Taifa pia. Mimi nina uhakika kabisa kuwa kama wanajua wana madhaifu mahali fulani fulani, basi lazima watakuwa wanazo alternatives ambazo huwa zinawawezesha kuziba magap yao, kama kweli yapo. By the way, kwani ukileta shida na wakashindwa kukugundua, hata ISP wako naye hawezi pia kukugundua? Hawana uwezo wa kumuuliza ISP, just in case issue imefikia kwenye crime level?
 
Mimi nawajua, wakati jeshi la Polisi linaanza kusomesha watu mambo ya ICT nilikuwa na hang nao, mimi nilikuwa nawapa sana vitabu vya programming, soft copies, na mpaka leo ninawasiliana nao.

Tuna matatizo kuanzia kwenye legal framework, vitendea kazi mpaka watu kutaminiwa tu.
The best thing is, they do not work alone. They may sometimes work with you as long as they know what you know!
 
Unajua wakati mwingine wanaweza kuwa wanafanyaje kazi? Wakishakujua mtu ambaye uko advanced kwenye jambo kama hilo, na uko trsurtworth kwamba ni mzalendo, they can easily hire you na huwezi kukataa kuwapa a helping hand kwa sababu jambo wanalofanya linakuwa ni la manufaa si kwako tu, bali kwako na kwa Taifa pia. Mimi nina uhakika kabisa kuwa kama wanajua wana madhaifu mahali fulani fulani, basi lazima watakuwa wanazo alternatives ambazo huwa zinawawezesha kuziba magap yao, kama kweli yapo. By the way, kwani ukileta shida na wakashindwa kukugundua, hata ISP wako naye hawezi pia kukugundua? Hawana uwezo wa kumuuliza ISP, just in case issue imefikia kwenye crime level?


Unachosema kipo sahihi kabisa mkuu. Na kwenye haya mambo ya IT, yote yanawezekana sema ugumu unakua kulingana na weledi wa mhalifu/ mtuhumiwa.

Inabidi wawe na uelewa wa hali yajuu kujua njia sahihi ya kutatua tatizo (appropriate approach).

Serikali inabidi iwekeze sana kuwezesha rasirimali watu kwenye hii sekta. Kuna watu wamebebwa au wamepachikwa kwenye maeneo wasio yamudu na kwakua ndio wenye kitengo, ufanisi unakosekana.

Sasa ISP nae ana limit yake. Ikiwa mtu katumia mashine/ kompyuta/kifaa ndani ya ofisi inaweza kywa rahisi at least kwa kujua IP gani public ilitumika kisha waanze kutafuta ndani sasa, hapo itategemea na mfumo wa ofisi husika.

Lakini kama mtu katumua kifaa kama simu au kompyuta yenye VPN na haijawahi kutumika nje ya huo mfumo, siwezi kusema haiwezekani ila ni kazi sana kumpata.
 
Ni sawa kama simu haina laini na haiko kwenye mtandao. Nini maana ya mtandao au Network? Unaweza ukawa una simu inayofanya mawasiliano na ambayo haiko kwenye network?
Wajua maana ya VPN? [emoji23] au kirefu chake hujui nikusaidie..VPN ni virtual private network , tafsiri ya private kwako ikoje? namna ya wao kukupata ni kuwasiliana na VPN unayo itumia wao sasa ndio wasaidie, changamoto namba moja ni kujua unatumia ipi changamoto namba mbili hawatoagi ushirikiano wowote
 
1. Internet
2. Email
3. Browser
4. Cellular Network
5. Cellular Tower
6. SMS
7. MMS
8. Voice Call
9. Mobile Data
10. VPN
11. Remote Desktop
12. Proxy
Nikukumbushe tu pia kuwa haupo mtandao wowote duniani ambao hautumii Kompyuta. Naona kama umesomea mambo haya ya cellular netwok halafu ukashau kama haziwezi kufanya kazi bila kutumia Kompyuta. All Routers are computers, kumbuka hilo
 
Wajua maana ya VPN? [emoji23] au kirefu chake hujui nikusaidie..VPN ni virtual private network , tafsiri ya private kwako ikoje? namna ya wao kukupata ni kuwasiliana na VPN unayo itumia wao sasa ndio wasaidie, changamoto namba moja ni kujua unatumia ipi changamoto namba mbili hawatoagi ushirikiano wowote
Ili mawasiliano yako yatoke kwenda nje, lazima upite kwenye Default Gateway, bila kujali unatumia VPN ama la, na ambayo inamilikiwa na ISP. Tuchukulie mfano hata katika maisha ya kawaida tu. Tuseme kwa mfano unaishi kwenye kwenye jumba kubwa sana mithili ya Kasri la Mfalme Sulemani, halafu na wewe kwa ujanja wako ukaamua kutengeneza chumba cha siri ndani ya Kasri hilo, ambacho watu wote waliomo humo ndani hawakijui ila unakijua wewe tu, hata mfalme naye pia hakijui. Je, siku ukiamua kutoka nje, utapitiia wapi? Si lazima utapita kwenye mlango mkuu wa Kasri hilo,na hatimaye getini? Utawezaje kufanya mawasiliano nje ya mtandao wako, bila kutumia Default Gateway?
Waliotengeneza mtandao siyo wajinga eti kwamba wameacha loopholes za end user na ambaye is just mere layman to them, kwamba anaweza akatumia mtandao wao kwa kujificha na wala asijulikane na mtu yeyote, hicho kitu hakipo kwemye mtandao wowote ule duniani!
 
Back
Top Bottom