Kama unajua jambo, kwa nini kua-argue kwa hasira? Unataka unalazimisha hoja siyo?
Nimesoma CCNA miezi 7 pale UDSM, kabla hujaanza hata kutumia hizo cellular netwok zako unazisema. Ninaposema kwamba mimi ni layman, "usinichukulie poa", I'm professional, japo sifanyi kazi hizo kwa sasa. Najua ninachokiongea hapa.
By the way, kuna uzi humu uliwahi kutrend siku za nyuma, kuna mtu alikuwa anatafutwa na mamlaka za dola, akamua kwenda nchi jirani halafu simu yake akampa mtu alikuwa anasafairi kwa basi kuja Dar. Unadhani kwa nini mtu huyu aliamua kufanya hivyo?
Na ninaomba nikupe tu uhakika kuwa mimi nikisoma kitu "huwa sibabaishi"