MOJA: ISP hawezi kushindwa kuona details za user kisa user amefanya encryption, hilo tukubaliane kwamba halipo
MBILI: Device Address (MAC) ya device inayofanya mawasiliano, haiwezi kushindwa kujulikana na ISP, akiihitaji. Ukiachilia mbali IP address ambazo zenyewe ni dynamic, device address huwa hazibadililiki. Watamjua mhusika wa mawasiliano kwa kuangalia information kwenye ROUTING TABLES zao kwenye mojawapo ya servers zao! Wakishajua MAC address ya device, watajua IP adderss zote ambazo device hiyo imeshawahi kuzitumia, hata huko kabla, provided ni regular user wa mtandao huo. Hii sasa hata kama atakuwa anabadilisha devices, provided kuna text ambayo wana interest nayo watajua tu location ya mhusika wake kuanzia pale.
Haipo encryption ambayo user anaweza akafanya na kumfanya ISP asijue details zake
gspain