Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,811
- 7,561
Uko sawa kabisa. Always ni vigumu kumpata Criminal, especially hawa ambao wako smart, yaani Cyber Criminals, lakini mini ninachosema ni kwamba haiwezekani criminal akaficha pia location ya pale alipo, assuming anaendelea kufanya mawasiliano kama vile kutuknaa watu kwenye mitandao. Kumpata always ni vigumu lakini kamwe hawezi kuficha location ya mahali alipo na wakati huo huo akiwa anendelea kutumia mawasiliano ya mtandao wa simu, bila kujali antumia VPN ama la, haiwezekani kuficha locationUnachosema kipo sahihi kabisa mkuu. Na kwenye haya mambo ya IT, yote yanawezekana sema ugumu unakua kulingana na weledi wa mhalifu/ mtuhumiwa.
Inabidi wawe na uelewa wa hali yajuu kujua njia sahihi ya kutatua tatizo (appropriate approach).
Serikali inabidi iwekeze sana kuwezesha rasirimali watu kwenye hii sekta. Kuna watu wamebebwa au wamepachikwa kwenye maeneo wasio yamudu na kwakua ndio wenye kitengo, ufanisi unakosekana.
Sasa ISP nae ana limit yake. Ikiwa mtu katumia mashine/ kompyuta/kifaa ndani ya ofisi inaweza kywa rahisi at least kwa kujua IP gani public ilitumika kisha waanze kutafuta ndani sasa, hapo itategemea na mfumo wa ofisi husika.
Lakini kama mtu katumua kifaa kama simu au kompyuta yenye VPN na haijawahi kutumika nje ya huo mfumo, siwezi kusema haiwezekani ila ni kazi sana kumpata.
Ni ISP tu anayeweza akaficha location ya user, lila si user mwenyewe. User anao tu uwezo wa kuhakikisha hakamatwi kirahisi, lakini hana uwezo wa kuficha location yake yeye kama yeye