Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Sidhani kwa hawa vijana wetu wakiTZ kama wanaweza hii project baadala yake watacompromise naye tu na kumpa utajiri na mwisho wake watatuambia wamemkamata... Waende pale kwa vijana wa Romania wanaweza kupata msaada kwa bei rahisi, project kama hizi wanaziweza..

Lakini pia inaweza kuwa assignment nzuri kwa graduates wetu wa IT kwenye vyuo vyetu wapewe hiyo deal kwa hata 200mil takwa liwe moja lazima watumie mtandao kumpata sio mbinu nyingine..
Hahaaaaa!! Magraduate wa IT, wa hapa?!!!!!
 
Umenena hapo mkuu wangesema tu dau lipo zuri alafu watupe kazi cjui kama ingechukua mda
 
Haijawahi kutokea waziri comedian kama Kangi Lugola. Anapuuzwa na ma RPC bila ajizi. Kamshindwa Cyprian Musiba. Kila anapogusa na mbwembwe ni hola. Ya mwisho ilikuwa Katavi alikoumbuka kwa Rais.
Sasa atayaweza ya Kigogo2014?
 
CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...

Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...

Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...

Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.

Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
we umejuaje kwamba wametumia wadada???
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema mtu anayejiita Kigogo2014 siku zake zinahesabika na atatiwa mbaroni muda si mrefu kwani hata mwezi una siku zisizozidi 31

Mh Lugola amesisitiza kuwa yeye leo hana maneno mengi ila ujumbe huo umfikie huyo kigogo2014 popote pale alipo.
 
We jamaa unajua kutambua mambo

Hata mm niliamini ile Ni drill imefanywa na Kigogo kaingia kambani bila kujua .Kamtandao kake kanakompa taarifa kameingia mtegoni.

Ni vigumu Sana kushindana na Serikali makini
Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
 
Bad timing. Amesty na wenzake wametoa ripoti yao siku kadhaa mbele mtu anatoa tamko linaloashiria linabana haki ya watu kutoa maoni yao.

Maoni hua haijalishi kama ni matusi, kukosoa au kusifia. Maoni ni maoni tu.
 
Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
Umeongea vizuri mno. Maana lengo kuu lilikuwa kumjua mtoa taarifa za Ikulu kwa hilo walifanikiwa. Muda ukifika Hatutaona post za kigogo tena.
 
Kigogo ni mjanja na wasomi wetu wameprove big No kwake. Kumjua ni kwa haya pia
1. Yuko Negative na CDM
2. Anainua upinzani chama kifulani
3. Ana source jikoni
 
Hata mimi nimekuwa na wasiwasi nae tangu mwanzo wa uzi hadi mwisho yeye ni dau tu tena hataki chini ya mil 250 haaaaaahaaaaa
[emoji1][emoji1][emoji1].mjomba anataka atusue mapene
 
Back
Top Bottom