Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Hawawezi ku infiltrate twitter network security hadi waweze kufahamu ip address ya huyo jamaa, unless wana pandikizi lao ndani ya twitter hq, San Fran, USA.

Na kwa hiki ulichokieleza hapa ndiyo ' Kikwazo ' chao Kikuu Mkuu na ndiyo maana Jamaa hatumii Facebook au Instagram badala yake anatumia Twitter pekee. Wasidhani kuwa nae ni ' Popoma / Pumbavu ' kama Watu wengine bali ili kumpata Mhusika Kigogo wanahitaji Umakini mkubwa na Kujipanga vyema ' Kiutaalam ' hasa huu wa IT vinginevyo wataishia tu Kukamata Watu wengine, kuwatesa na kuwashurutisha wajifanye wao ndiyo Kigogo ili waaminike na Umma.
 
Mkuu jamaa ana account ya instagram pia kule walishindwa mdukua...

Bado IT wa serikali hawajabobea katika mambo ya udukuzi na aliwaponda kweli zile safari walizoenda kule Israel zilikuwa za nini.
 
Nina uhakika likitangazwa dau la milioni 250 lazima kigogo mwenyewe ajisalimishe ili ale hilo li250
Kaka Kigogo inavyo onyesha hana njaa hata kidogo.Hawezi kushobokea tu 250 million.. Hela ndogo sana.
Kigogo anaweza kuwa mstaafu mmoja wa ngazi ya juu kuliko zote Hapo Tanzania.Na ananjia nyingi zakupata information mana amepita kona zote zinapotokea information.
 
Unawakumbuka Tanzagiza?? Kigogo ni mtu mmoja sio kikundi cha watu... Serikali iweke dau watu wamwage taarifa...
Ukupe advance kwnza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Kitu Pekee Wanachoweza Kufanya Kuwapa Pesa Waisrael Wamdukue.

Ngozi Nyeusi Wanachoweza Kuua Watu Wasio Na Hatia, Ngono Na Pombe.
Hapana hakuna haja ya kuvuka bahari, kigogo yupo hapa hapa Tanzania. Serikali ijitahidi tu kuweka dau watu wamwage taarifa nakuambia achukui round anakamatwa ndani ya wiki tu.

Tena huyu bwana anaonekana ni mtu wa makamo tu, kwa jinsi anavyo tweet mambo yake..
 
Tumeambiwa kigogo2014 ni akaunti ya Zito wanatumia watu wanne walioko mataifa manne tofauti.

1: Zito toka Tz
2: Codes toka Kenya
3: Raphael toka Ujerumani
4: chahali toka Scotland
Cc Yeriko Nyerere
 
Back
Top Bottom