Hamna kitu kama hiko Kumbuka Raphael alishatekwa na alinyang'anywa hadi simu na laptop ,pia zitto simu yake na laptop zake zipo polisi mpaka sasa,nao walikuwa wanahisi hivyo hivyo lakini kigogo alikuwa anapost tu mda wote.Tumeambiwa kigogo2014 ni akaunti ya Zito wanatumia watu wanne walioko mataifa manne tofauti.
1: Zito toka Tz
2: Codes toka Kenya
3: Raphael toka Ujerumani
4: chahali toka Scotland
Cc Yeriko Nyerere
Nilidhani yuko sayari nyingine!
Ukikalia kigogo ni lazima uogope vigogoKigogo akikamatwa vitaibuka vigogo na vijiti kibao! Tena vitakuwa na nguvu zaidi
Huu ugumu wa maisha unatunafanya watu tuwe na viburi na jeuri kama hizi...
Mkamateni aliyemshambulia Lissu kwanza, baada ya kumkamata tutawaamini kuwa mko makini vinginevyo kumkamata kigogo sio "issue".Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola.
Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri?
Wewe unamchukulia poa Kigogo2014?!!
Nafikiri wakukamate wewe kwanza!Mkamateni aliyemshambulia Lissu kwanza, baada ya kumkamata tutawaamini kuwa mko makini vinginevyo kumkamata kigogo sio "issue".
Hakuna cha kumtafuta Kigogo2014 wala nini, hii ni kutaka kutuamisha ktk mjadala kuhusu udhalimu unaoendelea ktk zoezi la kurudisha fomu kwa wagombea wa vyama vya upinzani. Na kuanzia sasa kila siku tutaona vitu kama hivi vikiongelewa ili kutaka kutuhamisha ktk mjadala.
Utakijua atakapotiwa mbaroni!Kwani Kigogo kafanya nini cha ajabu? Mpaka muhangaike naye?
Kumbe Snowden Alimzushia Rais Kifo????Hujui sheria wewe hakuna duniani ambako wanaruhusu kumzushia Rais kifo ukapona!! Nenda kamuulize Snowden his days are numbered!! Hakuna uhuru usio na kikomo!!
Hapa watahisiwa Watu wengi sana ila ukweli utabaki pale pale kwamba kuna tatizo huko huko Ikulu hadi katika Taasisi Nyeti nchini kwani haiwezekani Jamaa akawa na taarifa mbichi na zenye uhakika kabisa. Kama Kangi anataka Kumpata huyu Mtu aanze huko Ikulu na katika Taasisi ' Nyeti ' kwani atakuwepo huko huko au ni Mstaafu wao lakini anayewajua vyema na ambaye pengine kuna Vifaa ' Maalum ' vya Mawasiliano vilivyopo Ikulu na Kwingineko ambavyo vimewekwa na Yeye anavijua au atakuwa alienda nae Kozi na ameiva vilivyo. Ukimsoma utagundaua ya kwamba ni Mtu mwenye Jeuri, Kiburi halafu anajiamini mno hali ambayo inanifanya niamini kuwa huyu Jamaa ni ' Jasusi Mbobezi ' na ' Hatari ' sana kuwahi kutokea nchini Tanzania.
Hiyo hela hutapewa.CANARY TRAP strategy ilifanya kazi na hana muda mrefu...
Ila serikali ya Tanzania bado imelala sana, ingebidi itangaze dau waziwazi kama milioni 250 kwa mtu atakaye fanikisha kufanikisha kutoa habari zitakazoweza kumpata kigogo na hakika hata wiki haitaisha anakamatwa mapema...
Hawa washauri wa serikali sijui huwa wanawaza nini?? vichwa vyao viko tupu 100%, na hakika kuna watu wanamjua kigogo fika, sema hawawezi mchoma katika mamlaka husika burebure, hapa serikali iingie BOT ichote fedha iweke mezani tuone kama huyo kigogo atachukua round...
Mbinu za kutumia wadada zilikuwa za zama hizo miaka ya 80 (kwa hii mbinu ni ngumu kumkamata kigogo maana ni mjanja kwelikweli), miaka ya hivi karibuni ni fedha tu inaongea.
Hawaoni wenzao Marekani wanachofanya kwa magaidi wanatangaza dau kubwa, waarabu uvumilivu unawashida wanaishia kuwachoa magaidi waliotikisa dunia...
Upo sahihi.kigogo kwa mawazo yangu sio mtu 1 ni kundi la watu (tena wataalamu sana) kuna siku niliona akisema 'walimdukua wakachemka" unaweza pata picha jamaa ni wa moto kiasi gani?
hii kudanganyana sijui mtego wa kuumwa maggu sijui nini ni porojo
Yeye alitoa ukweli kuwa USA wanawadukua marais wa EU lakini US wanamtaka hai au maitiKumbe Snowden Alimzushia Rais Kifo????
Aiseee Napitwa Na Mengi Sana Huku Duniani
FactWangekua na uwezo huo wangeshamkamata kimya kimya, hizo kelele za Waziri ni ishara kuwa wameshindwa kumpata.