Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.

Kama ulichoongea ni kweli yaani mtu wa karibu na Rais awe anavujisha taarifa tena twitter bila faida !!!....

Na kama ni mtu aliye na access ya information zote inamaanisha ni mkubwa sana na kama access yake ni limited then ana system maalumu ambayo ni mbaya zaidi.

Mimi nachojaribu kuwaza kama mtu wa ndani ya system ajipe RISK ya bure ina maana gani katika system ya usalama tuliyonayo ??..

Ngoja nikanywe zangu soda tu maana ya bongo yanaumiza kichwa
 
Kigogo yupo nje ya nchi, ila haya mambo haya si Unaona Asange alitiwa nyavuni
Sasa inshu ya asange utailinganisha na ya kigogo? Asange alikuwa anajulikana alipo ila ni sheria tu za kidiplomasia ndio ilikuwa kikwazo kwenda kumkamata hapo kwenye ubalozi wa equadol!! Hadi hapo walipomtoa
 
Sasa inshu ya asange utailinganisha na ya kigogo? Asange alikuwa anajulikana alipo ila ni sheria tu za kidiplomasia ndio ilikuwa kikwazo kwenda kumkamata hapo kwenye ubalozi wa equadol!! Hadi hapo walipomtoa

Si alianza kwa vificho baada ya kubainika akakimbilia huko, Ngurumo nae si unaona alisepa
 
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema mtu anayejiita Kigogo2014 siku zake zinahesabika na atatiwa mbaroni muda si mrefu kwani hata mwezi una siku zisizozidi 31

Mh Lugola amesisitiza kuwa yeye leo hana maneno mengi ila ujumbe huo umfikie huyo kigogo2014 popote pale alipo.
Hivi mualifu anatangaziwa kukamatwa?sijawahi ona,yawezekana wameshindwa Sasa wanatoa vitisho
 
Snowden has never been caught by US government apart from being a traitor to his country. Sasa yeye atathibitisha nini?
Hujui sheria wewe hakuna duniani ambako wanaruhusu kumzushia Rais kifo ukapona!! Nenda kamuulize Snowden his days are numbered!! Hakuna uhuru usio na kikomo!!
 
Mi ni kigogo junior!!!taarifa kutoka kwa mwana ccm mkongwe!!!jiwe anatoa povu mdomoni hana ishu!!!hala kangi ni shoga!ulimuona anavotingisha makalio????
[emoji51][emoji51][emoji51] sawa kigogo jr
 
Mmenukumbusha tanzagiza, haaaaahahaha

Hiv waliishia wapi maana walikuwa na mbwembwe kweeel
 
Back
Top Bottom