Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Haya na tusubiri...Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amesema mtu anayejiita Kigogo2014 siku zake zinahesabika na atatiwa mbaroni muda si mrefu kwani hata mwezi una siku zisizozidi 31
Mh Lugola amesisitiza kuwa yeye leo hana maneno mengi ila ujumbe huo umfikie huyo kigogo2014 popote pale alipo.
Je, Tanzania tuna Media Freedom kubwa kuliko UK na US? Tushuhudie kitachompata Julian Assange wa WikiLeaks! Tujifunze kwake
Wanabodi, Yule Mwandishi Julian Asange wa WikiLeaks, ametiwa nguvuni nchini Uingereza kwa kutakiwa na Marekani, sasa sisi Tanzania, tujifunze kwa kitachompata, tukitumie kama shamba darasa la kujifanyia tathmini ya Press Freedom yetu, usikute sisi tuna press freedom kubwa kuliko UK na US, zaidi...