Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Sasa wakiitumia kimya kimya, watu watajua je, kwani dau ndio huwavutia watoa taarifa, mbona USA, yeye huwa ameshaweka dau kwa kila kichwa cha mtu wanae mtafuta? Sasa kidnapping ni tofauti, ndio maana huwa dau linawekwa hadharani, ili kuwavutia wenye habari juu ya huyo anayetafutwa!!!
Kuna namna mbalimbali ya kudeal na issues mbalimbali.
 
Duh
Screenshot_2019-11-02-18-36-26.jpeg
Screenshot_2019-11-02-18-36-43.jpeg
 
Yaani u mobilize resources kwa ajili ya kumtafuta Kigogo? Hivi hizo hela hazina kazi nyingine za kufanya mpaka zitumike kwenye upumbavu wa mtu anayetoa maoni yake?
Tanzania Government might ask or corporate with foreign competent governments or agencies like Mossad which is most likely and that will be bad news for Kigogo 2014.
 
Huyo kigogo kafanya nini wakuu mpaka amekuwa topic kubwa hivyo???
 
Bad timing. Amesty na wenzake wametoa ripoti yao siku kadhaa mbele mtu anatoa tamko linaloashiria linabana haki ya watu kutoa maoni yao.

Maoni hua haijalishi kama ni matusi, kukosoa au kusifia. Maoni ni maoni tu.
Hujui sheria wewe hakuna duniani ambako wanaruhusu kumzushia Rais kifo ukapona!! Nenda kamuulize Snowden his days are numbered!! Hakuna uhuru usio na kikomo!!
 
kigogo kwa mawazo yangu sio mtu 1 ni kundi la watu (tena wataalamu sana) kuna siku niliona akisema 'walimdukua wakachemka" unaweza pata picha jamaa ni wa moto kiasi gani?

hii kudanganyana sijui mtego wa kuumwa maggu sijui nini ni porojo
Hawawezi kumdaka kigogo kwa kutegemea wataalamu wa TCRA na Cyber Crime Unit "SENTRO" hawatoweza.
 
Tanzania Government might ask or corporate with foreign competent governments or agencies like Mossad which is most likely and that will be bad news for Kigogo 2014.

Kigogo yupo nje ya nchi, ila haya mambo haya si Unaona Asange alitiwa nyavuni
 
Back
Top Bottom