Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Hapana. Unatumia mtandao mwingine kwa kutumia device yako mwenyewe, ila bundle ndiyo linakuwa siyo lako. Unatumia bundle lililo kwenye simu yangu, lakini wewe nawe lazima uwe na device ambayo lazima i-establish connection na device yangu ambayo ndiyo inalo bundle. Ili utumie bundle langu lazima uwe na device ya kwako wewe unayomiliki mwenyewe. Kwa hiyo kama ni kwenye VPN, device yako lazima itaonekana kwenye ROUTING TABLE ya ISP wa hiyo huduma. Watakupta kwa kutumia MAC address wakikuhitaji, na IP address zote ulizowahi kutumia watazijua
Nadhani hujaielewa vizuri concept ya VPN, na ningeshauri ujaribu kuconfigure practically (kama hujawahi) utaelewa vizuri ninacho maanisha.

Ungekuwa na uwezo pia wa kufanya security auditing ungejaribu kuona kama utaona hiyo mac address ya VPN. Kwa kifupi VPN haiwezi kuwa na Mac address sababu sio kitu kinacho exist practically.
 
Guys Guys Guys Guys u r still making this a bit more complicated topic wakati ni rahisi sana.

Sasa hivi mmehama kujadili uwezekano wa Kigogo kukamatwa na Serikali ya Tanzania sasa mnahamia kwenye ISP mara dynamic or static ip mara mac address?

There is alot of devices running under one ISP now who will know that device fulani ndo anatumia Kigogo? Hell nooooo...!

That is not easy and not possible bila msaada toka kwa Twitter ambae ana record ya device iliyotumika kulogin katika mtandao wake kwa kila user regardless ya IP address.

Kinachojadiliwa hapa hakuna mtaalamu ambae anaeweza ku penetrate katika servers za Twitter na akapata user information ya huyo mtu after all servers ni nyingi na server ikiwa compromised hata kabla ya kumfikia kigogo basi the system will be reverted back.

Why nasema the only way ni penetration? Sababu twitter hawawezi kamwe kutoa taarifa za mteja kirahisi hivyo kwa serikali ya Tanzania.

Mnazunguka mno kiasi kwamba mnapotea, hakuna aliyesema kwamba kigogo hawezi kupatikana na mtu yeyote bali tumekua specific kwa serikali ya Tanzania.

Achaneni na hizo complications, kuna siku utaulizwa what is living things na non living things utaanza kuelezea kuanzia uumbaji wa Mungu wa siku 6 na siku ya 7 akapumzika.
Labda inawezekana haukufatilia hoja hizi zilipo tokea.

Hoja hizi zimekuja baada ya watu kuvutana kuhusu serikali ikiamua kumsaka inampata na wengine kusema sio rahisi kiivo.

Ndipo ikaibuka mijadala kuhusu means mbalimbali ambazo zinaweza tumika na ukapata ugumu sana kumtrack mtu husika, kutokana na sintofahamu ya kakamatwa/hajakamatwa.

Ukitaka tujibu tu hoja hiyo ni very simple, tutakuwa na makundi mawili ambayo moja linacomment kakamatwa kundi lingine linakanusha basi.
 
Okey sawa sawa

Basi endeleeni kuwaelimisha kuhusu VPN maana naona naandika mpaka kichwa kinauma.

Umeshawaelezea lakini bado tu hawaelewi
 
Okey sawa sawa

Basi endeleeni kuwaelimisha kuhusu VPN maana naona naandika mpaka kichwa kinauma.

Umeshawaelezea lakini bado tu hawaelewi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo hivo mkuu, sidhani kama watu hawaelewi ila ni kawaida katika mijadala kupishana mawazo, kikubwa mwishowe tufikie muafaka.

Wengine hizi fani tulizi kimbiaga leo atleast tumepata review class, tunakumbushia enzi zetu.
 
Ni kweli. Unajua kwa mfano kwa sasa tunakoelekea, teknolojia ikishakuwa juu sana, tutaanza kujenga nyumba ambazo milango yake hatutakuwa tunaitumia tena kutokea nje, ila tutakuwa tunaaacha uwazi juu ya paa halafu tukitaka kutoka nje, tunaruka na drone zetu kutokea ndani kwenda nje. Tutaachana na njia hizi za kijinga za kutokea mlangoni kama ilivyo sasa.
By the way, VPN ina uwezo wa kuficha details za mtandao unaotumia, kwa watu wasiohuiska na mtandao huo tu, yaani ambao siyo ISP wako. VPN haina uwezo wa kuficha details zako kwa ISP wako, na hivyo haina uwezo wa kuficha location ya mahali ulipokuwa wakati unafanya mawasiliano. VPN itakusaidia tu kutokukamatwa kirahisi, lakin haiwezi ikakufanya usikamatwe
Nyinyi ndio mnamdanganya Magu anachoma pesa daily kutafuta watu wa kumfuatilia kidogo bila mafanikio yeyote, hujui VPN ni kitu gani na inafanyaje kazi ila uko bize kujibu kila mtu, nikuache
 
It is true you can hide to everybody else, the details of your communications in the network, except your ISP.Hilo mimi sikatai isipokuwa ninachosema ni kuwa huwezi ukaficha sehemu uliyopo wewe kama wewe, labda ufichwe na ISP. Issue hapa ni kwamba, je pamoja na kuficha details za mtandao unaotumia, unaweza pia wewe kama wewe ukaficha location ya mahali unapokuwa upo, bila kuwa na msaada wa ISP? Kuficha IP address hakukufanyi usijulikane na ISP wako kwamba unafanya mawasiliano kutokea wapi.
Hata Public WiFi nayo pia inaye service provider. Hakuna mawasilano ambayo yako hewani tu na hayana Service Provider. Lazima kunakuwa kuna server iko mahali inahost mawasiliano hayo
VPN sasa jukumu lake, inahamisha taarifa , server unayotumia ww inasoma eneo jingine kabisa uliloamua ww , na IP address inasoma ya huko huko

anyway.. nilishasema niachane na ww
 
Sasa mtu akitumia VPN halafu akaenda Twitter, ISP katoa internet connection tu, traffic iko scrambled na encryption kwenye VPN server, mteja kapewa IP address mpya na VPN server, ISP atajuaje detail za connection hiyo wakati ziko encrypted?
Huyo jamaa inaonekana ni mmoja wa washaur wa bwana mkubwa, siku moja wanaamn watampata kigogo
 
Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola.

Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri?

---
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu anayejiita kigogo kupitia ukurasa wa Twitter.

Ametoa kauli hiyo leo Novemba 2, 2019 katika mkutano na wanahabari wakati akitoa tathimini ya hali ya usalama hapa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambapo amesema kuwa muda si mrefu polisi watamtia nguvuni mtu huyo.

"Kalenda inazo tarehe, utahesabu mwezi mfupi na mrefu, nataka niwaambie kwa kifupi siku za huyo Kigogo zinahesabika na hana siku nyingi", amesema Waziri Lugola.
Miaka ya sabini kuna matukio ynayakumbuka kiasi na wahenga wengine wanaweza kunisaidia,
  1. Ndege isiyojulikana ilirusha vipeperushi jijini Dar es salaam
  2. Radio isiyojulikana ilikuwa inarusha matangazo yake majira ya saa moja usiku mpaka saa mbili
  3. Mtu aliyejiita Candid scope alitunga kijitabu "Honest to my country"
  4. Mwaka 1983 kuna watu walijaribu kuiangusha serikali
Nimeorodhesha haya ili kukupa mwanga ya kuwa katika jamii kuna watu ambao hawatelewana na utawala na watatumia njia tofauti kufikisha ujumbe.Kigogo atapita kama walivyopita hao wengine na pia wataibuka wengine huenda hatari kuliko Kigogo.
Ndivyo ilivyo DUNIA!!!
 
Guys Guys Guys Guys u r still making this a bit more complicated topic wakati ni rahisi sana.

Sasa hivi mmehama kujadili uwezekano wa Kigogo kukamatwa na Serikali ya Tanzania sasa mnahamia kwenye ISP mara dynamic or static ip mara mac address?

There is alot of devices running under one ISP now who will know that device fulani ndo anatumia Kigogo? Hell nooooo...!

That is not easy and not possible bila msaada toka kwa Twitter ambae ana record ya device iliyotumika kulogin katika mtandao wake kwa kila user regardless ya IP address.

Kinachojadiliwa hapa hakuna mtaalamu ambae anaeweza ku penetrate katika servers za Twitter na akapata user information ya huyo mtu after all servers ni nyingi na server ikiwa compromised hata kabla ya kumfikia kigogo basi the system will be reverted back.

Why nasema the only way ni penetration? Sababu twitter hawawezi kamwe kutoa taarifa za mteja kirahisi hivyo kwa serikali ya Tanzania.

Mnazunguka mno kiasi kwamba mnapotea, hakuna aliyesema kwamba kigogo hawezi kupatikana na mtu yeyote bali tumekua specific kwa serikali ya Tanzania.

Achaneni na hizo complications, kuna siku utaulizwa what is living things na non living things utaanza kuelezea kuanzia uumbaji wa Mungu wa siku 6 na siku ya 7 akapumzika.
Twitter mbali hivyo, hii jamii forum yenyewe weshindwa ivunja wapate details za wale washtakiwa

if it was that easy kama jamaa anavyotaka kutudanganya, kwann hawakwenda kwa Internet service provider akawasaidia? hajua kwamba data zinapatikana kwenye third party, na zile ambazo wanaweza zipata ISP ziko encrypted , yeye anadhani ni jambo jepesi
 
Hawawezi ku infiltrate twitter network security hadi waweze kufahamu ip address ya huyo jamaa, unless wana pandikizi lao ndani ya twitter hq, San Fran, USA.
Kumbuka tu makampuni hayo hayo yanafanya biashara na serikali.La muhimu ni kuchunga unachoandika na kuangalia faida na hasara ya unachochangia katika mitandao ya kijamii lakini MITANDAO YA KIJAMII SI SALAMA KAMA WENGI TUNAVYODHANIA
 
Nadhani hujaielewa vizuri concept ya VPN, na ningeshauri ujaribu kuconfigure practically (kama hujawahi) utaelewa vizuri ninacho maanisha.

Ungekuwa na uwezo pia wa kufanya security auditing ungejaribu kuona kama utaona hiyo mac address ya VPN. Kwa kifupi VPN haiwezi kuwa na Mac address sababu sio kitu kinacho exist practically.
Issue ni ndogo tu, a download VPN kwenye simu yake, aangalie nyimbo zilizofungiwa hapa bongo ambazo zinarihusiwa kwa wenzetu huko ila hapa ni marufuku.. kama Nyegezi Ya Rayvanny na Diamond

alafu atuambie kwann ISP karuhusu uione hiyo mbimbo wakati imefungiwa , labda pengine ni njia nyepesi ya kumwelewesha akaelewa uwezo wa hili tunalo jadili
 
Kumbuka tu makampuni hayo hayo yanafanya biashara na serikali.La muhimu ni kuchunga unachoandika na kuangalia faida na hasara ya unachochangia katika mitandao ya kijamii lakini MITANDAO YA KIJAMII SI SALAMA KAMA WENGI TUNAVYODHANIA
Hakuna mtandao utakao link taarifa za mteja kamwe, endapo ukifanya hivyo na maisha yake yataishia hapo hapo
 
Hakuna mtandao utakao link taarifa za mteja kamwe, endapo ukifanya hivyo na maisha yake yataishia hapo hapo
[/QUOTEN
nimesikia kuna mtandao huwa wanatoa na wameandika kwenye policy yao
 
Issue ni ndogo tu, a download VPN kwenye simu yake, aangalie nyimbo zilizofungiwa hapa bongo ambazo zinarihusiwa kwa wenzetu huko ila hapa ni marufuku.. kama Nyegezi Ya Rayvanny na Diamond

alafu atuambie kwann ISP karuhusu uione hiyo mbimbo wakati imefungiwa , labda pengine ni njia nyepesi ya kumwelewesha akaelewa uwezo wa hili tunalo jadili
Nimesoma kuhusu VPN na ninachoweza kuweza kusema ni kuwa VPN yenye hakika ni ya kulipia tu.Hizi za free s ajabu ukauza habari zako zote
 
Issue ni ndogo tu, a download VPN kwenye simu yake, aangalie nyimbo zilizofungiwa hapa bongo ambazo zinarihusiwa kwa wenzetu huko ila hapa ni marufuku.. kama Nyegezi Ya Rayvanny na Diamond

alafu atuambie kwann ISP karuhusu uione hiyo mbimbo wakati imefungiwa , labda pengine ni njia nyepesi ya kumwelewesha akaelewa uwezo wa hili tunalo jadili
Asante mkuu, nadhani umesaidia kuzungumza kwa lugha nyepesi ambayo hata mtu wa kawaida anaelewa kirahisi.
 
Back
Top Bottom