Makanyaga
Platinum Member
- Sep 28, 2007
- 11,811
- 7,561
Ni vigumu kukumatata, ila inawezekana. Difficult but possible and not impossible. Tatizo hapa watu wanadai kama haiwezekani vile. Mtu akiamua kukutrace wewe kama specific user, kama ulivyotoa mfano hapo atakupata hatimaye, hata kama utatumia devices zenye mac addresses tofauti tofauti. ISP wote wawili inabidi washirikiane.Tuanze na moja. Unafahamu encryption ni ni i na inafanyaje kazi?
Unavyoongelea ISP hawezi kushindwa kuona details za user, unaongelea detail gani? Unaongelea encryption gani?
Mimi hapa Kiranga nimeingia JF kwa IP address ya Canada, maana yake nimepata internet connectionnkwa ISP, nilivyopata internet connection tu nikaingia kwenye VPN server liko Malaysia. VPN server limenipa IP address ya Canada na kika kitu ninachofanya kuqnzia hapo kiko encrypted, ISP haoni natembelea site gani, haoni natumia protocols gani, anaona scrambked traffic tu.
Sasa hapo ISP ataona detail gani?
Nikitembelea JF au Twitter, ISP atajuaje wakati traffic iko encrypted?
Hivi hawa watu wa mambo ya Cbyer Crime wao huwa wanatumia viichwa tu hawana hata software zenye commands kwa mfano "tracert www.yahoo.com"? Wao hawana softwares za namna hiyo kweli?