Jile79
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 17,668
- 13,281
Sure mkuu...Inachanganya si pa kuingia kichwa kichwa.
Sure mkuu...Inachanganya si pa kuingia kichwa kichwa.
Daa!! Umenikumbusha uzi wetu wameufungaNa hata wakidukua jf mi nlisha edit login email...nikiwasha na li Nord vpn langu hahaaaaa..... Ingawa serikali haiwezi kunitafta Mimi mla tunda kimasihara...,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
TV. Gari lako, shati, sidiria, kila kitu unachotuumia mpaka mbegu ya mchicha imetoka nje halafu eti unawabeza watu MABEBERU kisa wizi wakoDuuh naona account imekuwa suspended na mabeberu.
Hahahaha, naona toka Jana usiku iko suspended, nadhani Twitter wameizuaDuuh naona account imekuwa suspended na mabeberu.
Naona kafungua nyingine hiyo hapo fichuaTanzania_official (@FichuaTanzania) on TwitterDuuh naona account imekuwa suspended na mabeberu.
Yaelekea kafungua ingineHahahaha, naona toka Jana usiku iko suspended, nadhani Twitter wameizua
Mpya sijaionaYaelekea kafungua ingine
Iko kwa hewa mzee baba.Mpya sijaiona
Hii fichua Tanzania nina mashaka kama ni yake kweliNaona kafungua nyingine hiyo hapo fichuaTanzania_official (@FichuaTanzania) on Twitter
Kuna mdau kaitaja kwenye post no 760Mpya sijaiona
Jamaa kwa spana namkubaliNaona kafungua nyingine hiyo hapo fichuaTanzania_official (@FichuaTanzania) on Twitter
Ni yenyewe kweli..Naona kafungua nyingine hiyo hapo fichuaTanzania_official (@FichuaTanzania) on Twitter
"Labda wamfanyie social engineering ajikanyage mwenyewe."Nimecheza na ma ISP huu mwaka wa 20 sasa.
Tangu Facebook haijazaliwa, enzi hizo tulikuwa na Geocities, Astalavista, Mailcity/Lycos, Excite, na Yahoo.
Nimecheza sana na ma F5 VPNs na load balancers.Mimi mwenyewe ni mteja na muuzaji wa VPN.
Ni vizuri kuelewa kiini cha teknolojia, sio kuisikia na kuisema kwa juu juu tu.Nimekaa na mijitu inataka ueleze mpaka zile high primes zinavyofanya kazi na kufanya encryption thabiti kuwa ngumu kuvunjika. Kuna ma encryption ukitaka kuyavunja inabidi ufanye cracking kwa muda mrefu sana! Na hapo ni ikiwa umeachiwa tu bila limit.
Kuna mtu kapiga hesabu, kwa 256 bit AES ku crack kwa brute force utahitaji miaka 2 power 255 that is, 2,117.8 trillion years.
The current age of the universe is believed to be less than 14 billion years, per the Big Bang Theory.
So you will need much more than the universe has existed!
See here How long would it take to brute force AES-256? | ScramBox
Nishaweka packets za traffic ya VPN kwenye Wireshark nikaona ilivyokuwa scrambled.
Kigogo anaweza kushikwa kwa human error tu. Lakini kuvunja 256 bit SSL encryption (standard) kwa mfano, kwa teknolojia za serikali ya Tanzania, ni ngoma nzito sana.
Labda wamfanyie social engineering ajikanyage mwenyewe.
Nafikiria ana maana ya kumtumia au kufanya attacks kwa mhusika kupitia kujua psychology ya lifestyle yake ya kila siku! Social engineering attacks zaweza kua hizi:-"Labda wamfanyie social engineering ajikanyage mwenyewe."
Una maanisha nini kusema wamfanyie "social engineering"
Asante mkuu,hapo nimepata kuelewa,ngoja tusubiri na mhusika kama atakuwa na majibu tofauti na hayaNafikiria ana maana ya kumtumia au kufanya attacks kwa mhusika kupitia kujua psychology ya lifestyle yake ya kila siku! Social engineering attacks zaweza kua hizi:-
Baiting,(Ahadi za uongo na zenye ushawishi ndani yake ila zenye lengo la udadisi)
Scareware,(Hapa inahusika na kutumia vitisho vya uongo)
Pretexting,(Attack kwa kutumia ujumbe wa maandishi)
Phishing,(Hapa inahusika na kutumia payload links zenye ushawishi ambazo anaweza ku click na kua victim) na Spear phishing...
NOTE: (Nmejibu kulingana na uelewa wangu tu wa mtaani sina eksipiriensi sana na hii tasnia ya IT wataalamu wataja kukuelewesha zaidi)
Lakini shida ni kwamba Kigogo2014 sio fala kama tunavyomfikiria, Yule jamaa ni mjanja sana na ana timu kubwa ya watu wenye wanajua IT nao sio VILAZA kwenye hii field, maana jamaa amefanyiwa attacks nyingi sana zikawa zina fail tu na nyingine alikua anazipangua juu kwa juu... Before hajafungiwa na Twitter hiyo jana ni majuzi tu kafanyanyiwa attacks zikafail...
Habari zaidi kumbe jamaa anakamatia mbuzi katooeeee?Haitawahi kutokea mkuu, muda mwingi tulikuwa naye viwanja tunakula kitimoto, muda huo huo mimi nayeye tulikuwa tukipitia kuzisoma posts za kigogo, kumbe hata yeye anamfollow,
Mwenyezi Mungu ambariki Kigogo.
VPN nzuri inabidi ulipie vya bure vina-limitation nyingi sanaWakati tukipata shule bila ada hapa,naomba mniambie ni VPN gani nzuri kwa Android ambayo sio ya kulipia(free)