Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
imenibidi nikashuhudie kwanza,hakika karudiKigogo karudi mchana huu! Ingia Twitter!! Keshapiga spana za kutisha!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
imenibidi nikashuhudie kwanza,hakika karudiKigogo karudi mchana huu! Ingia Twitter!! Keshapiga spana za kutisha!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
imenibidi nikashuhudie kwanza,hakika karudi
Anatumia account gani?Kigogo karudi mchana huu! Ingia Twitter!! Keshapiga spana za kutisha!!
[emoji23][emoji23][emoji23]
Anatumia account gani?
[emoji15][emoji15][emoji15]
Kulikoni Mtanzania mwenzangu!?[emoji15][emoji15][emoji15]
Huyu jamaa amefufuka?Kulikoni Mtanzania mwenzangu!?
Account yake ni ileile kubadirisha picha tu juu pale! Vingine vyote vipo vilevileAnatumia account gani?
Mbona alirudi muda tu! Halafu kuna time akapiga kimya tena!imenibidi nikashuhudie kwanza,hakika karudi
Hiyo acc inawezakana hisiwe yake kwa maana hata mwanzo kuna baadhi ya watu walisema kuwa kigogo anatumia acc mpy inaitwa THE THINKER kumbe ulikuwa uongo mtupu.kwa hiyo naamini hiyo pia sio acc ya kigogoFichua Tanzania
KabisaHiyo acc inawezakana hisiwe yake kwa maana hata mwanzo kuna baadhi ya watu walisema kuwa kigogo anatumia acc mpy inaitwa THE THINKER kumbe ulikuwa uongo mtupu.kwa hiyo naamini hiyo pia sio acc ya kigogo
Ni mlaji mzuri sana wa kitimotoHabari zaidi kumbe jamaa anakamatia mbuzi katooeeee?
Mtetezi wa makamanda!Hiyo acc inawezakana hisiwe yake kwa maana hata mwanzo kuna baadhi ya watu walisema kuwa kigogo anatumia acc mpy inaitwa THE THINKER kumbe ulikuwa uongo mtupu.kwa hiyo naamini hiyo pia sio acc ya kigogo
Wewe no Nan Kwanza ni pm mkuuNi mlaji mzuri sana wa kitimoto
Vipi alipatikana?Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
Bado huzioni?Umeongea vizuri mno. Maana lengo kuu lilikuwa kumjua mtoa taarifa za Ikulu kwa hilo walifanikiwa. Muda ukifika Hatutaona post za kigogo tena.
Mimi kwanza sioni hata haja ya kuhangaika na huyo jamaa,Anatumia proton kwa ajili ya ulinzi nilifatilia hiyo proton ni hatari na ili adakwe serikali inatakiwa inunue taarifa zake kwa pesa nyingi mno kwa hiyo tutabaki kudanganyana tuu na kuhisi watu ambao sio kabisa na walitaka kuzusha eti kakamatwa wangepata aibu maana jamaa angeendelea kutoa taarifa kama kawaida...Kigogo ni kiboko anaijua IT vizuri