Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Kipindi hiki cha uchaguzi ndio kimeonyesha ni jinsi gani kigogo alivyo mweupe, ni vitisho tu visivyo na kichwa wala makalio.
 
Mimi kwanza sioni hata haja ya kuhangaika na huyo jamaa,

Tena kwenye huu uchaguzi ndio kaonesha hajui chochote zaidi ya porojo tu.

Aliwadanganya Bavicha kwamba ana kituo chake na yeye cha kujumlishia matokeo hivyo nec wakae mkao wa kula, na bavicha wakashangilia kumbe bure kabisa.
Ulijuaje bure Kama na ww hukufuata ww n bavicha ILA KUTOKANA na USHINDI wa ccm umebadilika
 
Mimi kwanza sioni hata haja ya kuhangaika na huyo jamaa,

Tena kwenye huu uchaguzi ndio kaonesha hajui chochote zaidi ya porojo tu.

Aliwadanganya Bavicha kwamba ana kituo chake na yeye cha kujumlishia matokeo hivyo nec wakae mkao wa kula, na bavicha wakashangilia kumbe bure kabisa.
wewe ndio hujui chochote..
 
Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
Habari yako kiongozi??

Kigogo anakusalimia kutoka Twitter.
 
Kwa utafiti wangu mdogo kigogo ni taasisi sio mtu, ukifuatilia post zao utagundua kuna mpaka wadada
 
Back
Top Bottom