Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Hivi mods ndo wametembea na ule uzi wa donge nono? Au mods ndo vigogo?
 
Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
Tunaambiwa siku zote tuwe tunaweka akiba ya maneno
 
MATAGA bhana..
Hata hao unaowasema wanamtegemea KiGOGO kupata taarifa za hakika
 
Waruhusu uhuru wa habari kigogo atapotea mwenyewe kama mange

FB_IMG_1615980034503.jpg

IMG-20210325-WA0026.jpg
 
Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola.

Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri?

---
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu anayejiita kigogo kupitia ukurasa wa Twitter.

Ametoa kauli hiyo leo Novemba 2, 2019 katika mkutano na wanahabari wakati akitoa tathimini ya hali ya usalama hapa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambapo amesema kuwa muda si mrefu polisi watamtia nguvuni mtu huyo.

"Kalenda inazo tarehe, utahesabu mwezi mfupi na mrefu, nataka niwaambie kwa kifupi siku za huyo Kigogo zinahesabika na hana siku nyingi", amesema Waziri Lugola.
Kigogo mpka leo ana enjoy tu maisha
 
Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]

I love Tanzanians [emoji1544]
 
Haswaaaa!!!baada ya lile tukio LA uzushi wa kifo cha Mzee, unaona wazee walikuwa kimnya sana(Hukushangaa hata wale watu wa matamko walikuwa kimnya).Pale walikuwa wanakusanya Data.Mwisho mzee JPM alifadhaika baada yakugundua mtoa information ni MTU wakaribu sana.
Na Kigogo akajulikana,nakuapia hutakaa umsikie tena Kigogo.Hata kama hatawekwa hadharani lakini huu ndio mwisho wa Kigogo.
Inawezekana hatutafahamishwa kwa public kwamba huyu ndie Kigogo na huyu ndie mtoa information, lakini ukawa ndio mwisho wao kwa Wenyewe System kujua wanawashughulikiaje.
Ha ha ha ha

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Kwa utafiti wangu mdogo kigogo ni taasisi sio mtu, ukifuatilia post zao utagundua kuna mpaka wadada
Wewe taasisi hawezi shabikia man city yote mchokoze kuhusu michezo SIMBA haipendi utajua ni mtu mmoja na unazi wa MAN CITY.
 
Back
Top Bottom