Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Twitter mbali hivyo, hii jamii forum yenyewe weshindwa ivunja wapate details za wale washtakiwa

if it was that easy kama jamaa anavyotaka kutudanganya, kwann hawakwenda kwa Internet service provider akawasaidia? hajua kwamba data zinapatikana kwenye third party, na zile ambazo wanaweza zipata ISP ziko encrypted , yeye anadhani ni jambo jepesi
Aisee we jamaa unajua sana aisee
 
Ili mawasiliano yako yatoke kwenda nje, lazima upite kwenye Default Gateway, bila kujali unatumia VPN ama la, na ambayo inamilikiwa na ISP. Tuchukulie mfano hata katika maisha ya kawaida tu. Tuseme kwa mfano unaishi kwenye kwenye jumba kubwa sana mithili ya Kasri la Mfalme Sulemani, halafu na wewe kwa ujanja wako ukaamua kutengeneza chumba cha siri ndani ya Kasri hilo, ambacho watu wote waliomo humo ndani hawakijui ila unakijua wewe tu, hata mfalme naye pia hakijui. Je, siku ukiamua kutoka nje, utapitiia wapi? Si lazima utapita kwenye mlango mkuu wa Kasri hilo,na hatimaye getini? Utawezaje kufanya mawasiliano nje ya mtandao wako, bila kutumia Default Gateway?
Waliotengeneza mtandao siyo wajinga eti kwamba wameacha loopholes za end user na ambaye is just mere layman to them, kwamba anaweza akatumia mtandao wao kwa kujificha na wala asijulikane na mtu yeyote, hicho kitu hakipo kwemye mtandao wowote ule duniani!
Huu Wimbo umefungiwa , wewe ambae huna VPN kwenye simu yako huwez uangalia, hata kuuona tu kwenye account ya Rayvanny hutouna, manake ISP wanaweza locate IP ADDRESS zote hapa ndani hivyo wameweka kizuizi mtu aliendani ya huo uzio hawezi angalia huu wimbo, niko zangu gongo la mboto hapa ninauangalia kwenye ACCOUNT YA RAYVANNY , huu wimbo mtu anaeweza uona ni alieko nje ya Tanzania au tulioko hapa Ndani tunaotumia VPN
NB. kwenye account ya Rayvanny

kwann ISP kashindwa locate nilipo? nimewezaje uangalia?
Screenshot_20200910-184154.jpg
 
MOJA: ISP hawezi kushindwa kuona details za user kisa user amefanya encryption, hilo tukubaliane kwamba halipo

MBILI: Device Address (MAC) ya device inayofanya mawasiliano, haiwezi kushindwa kujulikana na ISP, akiihitaji. Ukiachilia mbali IP address ambazo zenyewe ni dynamic, device address huwa hazibadililiki. Watamjua mhusika wa mawasiliano kwa kuangalia information kwenye ROUTING TABLES zao kwenye mojawapo ya servers zao! Wakishajua MAC address ya device, watajua IP adderss zote ambazo device hiyo imeshawahi kuzitumia, hata huko kabla, provided ni regular user wa mtandao huo. Hii sasa hata kama atakuwa anabadilisha devices, provided kuna text ambayo wana interest nayo watajua tu location ya mhusika wake kuanzia pale.

Haipo encryption ambayo user anaweza akafanya na kumfanya ISP asijue details zake

gspain
Tuanze na moja. Unafahamu encryption ni ni i na inafanyaje kazi?
Unavyoongelea ISP hawezi kushindwa kuona details za user, unaongelea detail gani? Unaongelea encryption gani?

Mimi hapa Kiranga nimeingia JF kwa IP address ya Canada, maana yake nimepata internet connectionnkwa ISP, nilivyopata internet connection tu nikaingia kwenye VPN server liko Malaysia. VPN server limenipa IP address ya Canada na kika kitu ninachofanya kuqnzia hapo kiko encrypted, ISP haoni natembelea site gani, haoni natumia protocols gani, anaona scrambked traffic tu.

Sasa hapo ISP ataona detail gani?

Nikitembelea JF au Twitter, ISP atajuaje wakati traffic iko encrypted?
 
Guys Guys Guys Guys u r still making this a bit more complicated topic wakati ni rahisi sana.

Sasa hivi mmehama kujadili uwezekano wa Kigogo kukamatwa na Serikali ya Tanzania sasa mnahamia kwenye ISP mara dynamic or static ip mara mac address?

There is alot of devices running under one ISP now who will know that device fulani ndo anatumia Kigogo? Hell nooooo...!

That is not easy and not possible bila msaada toka kwa Twitter ambae ana record ya device iliyotumika kulogin katika mtandao wake kwa kila user regardless ya IP address.

Kinachojadiliwa hapa hakuna mtaalamu ambae anaeweza ku penetrate katika servers za Twitter na akapata user information ya huyo mtu after all servers ni nyingi na server ikiwa compromised hata kabla ya kumfikia kigogo basi the system will be reverted back.

Why nasema the only way ni penetration? Sababu twitter hawawezi kamwe kutoa taarifa za mteja kirahisi hivyo kwa serikali ya Tanzania.

Mnazunguka mno kiasi kwamba mnapotea, hakuna aliyesema kwamba kigogo hawezi kupatikana na mtu yeyote bali tumekua specific kwa serikali ya Tanzania.

Achaneni na hizo complications, kuna siku utaulizwa what is living things na non living things utaanza kuelezea kuanzia uumbaji wa Mungu wa siku 6 na siku ya 7 akapumzika.
Kama kigogo anatumia VPN, hata Twitter watapata kazi kutoa data za Kigogo.

Mimi nina uwezo wa ku connect Twitter kutoka New Zealand, Canada, UK, Brazil, Netherlands, Thailand na nchi nyingine kibao.

Ndani ya saa moja.

Kwa kutumia VPN. Na kwenye servers za Twitter nikaonekana niko kwenye hizo nchi.

Sasa hapo kama Twitter wanataka kujua niko wapi watajuaje?
 
Huhitaji kuhack mtandao kumjua mtu unayemhitaji. Unahitaji kujua tu location yake tu kwamba yuko wapi basi. Minara ya mawasiliano yote ina namba kama hizi tunazotumia kwenye simu. Mawasiliano yote ya mitandao wanayotumia watu ndani na nje ya nchi, namba za devices zinazotumika zinajulikana, pamoja na location pia. Issue ya mtu kama huyu kushindikana kukamatwa labda iwe ni kutokana na kulindwa na mamlaka za nchi aliko, na si vinginevyo. Tuseme labda kama yuko Kenya, basi Serikali ya huko iamue kumlinda na kumuwekea kinga ya kukamatwa. Huhitaji ku-hack facebook kumjua au kumkamata mtu anayeleta shida kupitia facebook

Na nilishasema siku zote humu jukwaani kuwa ni layman tu anayeweza akaleta fujo kupitia mtandao wa internet
Hujui kitu
 
Kama kigogo anatumia VPN, hata Twitter watapata kazi kutoa data za Kigogo.

Mimi nina uwezo wa ku connect Twitter kutoka New Zealand, Canada, UK, Brazil, Netherlands, Thailand na nchi nyingine kibao.

Ndani ya saa moja.

Kwa kutumia VPN. Na kwenye servers za Twitter nikaonekana niko kwenye hizo nchi.

Sasa hapo kama Twitter wanataka kujua niko wapi watajuaje?
U right bro

Twitter bado watachemka mpaka wapate information kwa huyo third party.

There r few guys who know the game like u.

Nashangaa watu sijui akili huwa wanaziweka wapi yani.
 
U right bro

Twitter bado watachemka mpaka wapate information kwa huyo third party.

There r few guys who know the game like u.

Nashangaa watu sijui akili huwa wanaziweka wapi yani.
Nimecheza na ma ISP huu mwaka wa 20 sasa.

Tangu Facebook haijazaliwa, enzi hizo tulikuwa na Geocities, Astalavista, Mailcity/Lycos, Excite, na Yahoo.

Nimecheza sana na ma F5 VPNs na load balancers.Mimi mwenyewe ni mteja na muuzaji wa VPN.

Ni vizuri kuelewa kiini cha teknolojia, sio kuisikia na kuisema kwa juu juu tu.Nimekaa na mijitu inataka ueleze mpaka zile high primes zinavyofanya kazi na kufanya encryption thabiti kuwa ngumu kuvunjika. Kuna ma encryption ukitaka kuyavunja inabidi ufanye cracking kwa muda mrefu sana! Na hapo ni ikiwa umeachiwa tu bila limit.

Kuna mtu kapiga hesabu, kwa 256 bit AES ku crack kwa brute force utahitaji miaka 2 power 255 that is, 2,117.8 trillion years.

The current age of the universe is believed to be less than 14 billion years, per the Big Bang Theory.

So you will need much more than the universe has existed!

See here How long would it take to brute force AES-256? | ScramBox

Nishaweka packets za traffic ya VPN kwenye Wireshark nikaona ilivyokuwa scrambled.

Kigogo anaweza kushikwa kwa human error tu. Lakini kuvunja 256 bit SSL encryption (standard) kwa mfano, kwa teknolojia za serikali ya Tanzania, ni ngoma nzito sana.

Labda wamfanyie social engineering ajikanyage mwenyewe.
 
U nailed it bro

Maana kuna watu humu hata ukiwawekea key loger kwenye device zao hawezi kujua.
 
yule jamaa asipoelewa na hapa tena huyo ni kumwacha tu ataelewa wakati mwingine
 
Twitter mbali hivyo, hii jamii forum yenyewe weshindwa ivunja wapate details za wale washtakiwa

if it was that easy kama jamaa anavyotaka kutudanganya, kwann hawakwenda kwa Internet service provider akawasaidia? hajua kwamba data zinapatikana kwenye third party, na zile ambazo wanaweza zipata ISP ziko encrypted , yeye anadhani ni jambo jepesi
Na hata wakidukua jf mi nlisha edit login email...nikiwasha na li Nord vpn langu hahaaaaa..... Ingawa serikali haiwezi kunitafta Mimi mla tunda kimasihara...,😁😁😁😁😁
 
Issue ni ndogo tu, a download VPN kwenye simu yake, aangalie nyimbo zilizofungiwa hapa bongo ambazo zinarihusiwa kwa wenzetu huko ila hapa ni marufuku.. kama Nyegezi Ya Rayvanny na Diamond

alafu atuambie kwann ISP karuhusu uione hiyo mbimbo wakati imefungiwa , labda pengine ni njia nyepesi ya kumwelewesha akaelewa uwezo wa hili tunalo jadili
Na a downoad Nord vpn mi Nampa login details za users waliolipia ...afu ajifunze
 
Nadhani hujaielewa vizuri concept ya VPN, na ningeshauri ujaribu kuconfigure practically (kama hujawahi) utaelewa vizuri ninacho maanisha.

Ungekuwa na uwezo pia wa kufanya security auditing ungejaribu kuona kama utaona hiyo mac address ya VPN. Kwa kifupi VPN haiwezi kuwa na Mac address sababu sio kitu kinacho exist practically.
Sawa, VPN ni topology tu ya Network na ni kitu ambacho ni logical yaani system ya devices, siyo device. Kwa hiyo haiwezi kuwa na MAC address kwa sababu siyo devicce
 
VPN sasa jukumu lake, inahamisha taarifa , server unayotumia ww inasoma eneo jingine kabisa uliloamua ww , na IP address inasoma ya huko huko

anyway.. nilishasema niachane na ww
Bado kuna MAC address, layer 2 of the OSI model. ISP anao uwezo wa kuzisoma hizo. Sema tu ni kwamba ili mtu akamatwe kwa issue ya VPN lazima ISP ashirikishwe!
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Huu Wimbo umefungiwa , wewe ambae huna VPN kwenye simu yako huwez uangalia, hata kuuona tu kwenye account ya Rayvanny hutouna, manake ISP wanaweza locate IP ADDRESS zote hapa ndani hivyo wameweka kizuizi mtu aliendani ya huo uzio hawezi angalia huu wimbo, niko zangu gongo la mboto hapa ninauangalia kwenye ACCOUNT YA RAYVANNY , huu wimbo mtu anaeweza uona ni alieko nje ya Tanzania au tulioko hapa Ndani tunaotumia VPN
NB. kwenye account ya Rayvanny

kwann ISP kashindwa locate nilipo? nimewezaje uangalia? View attachment 1565449
Oooh wonderful! Kwa hiyo hawezi pia kujua kama umeangalia, just in case akitaka kufanya hivyo?
 
Back
Top Bottom