Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Serikali: Siku za Kigogo wa Twitter zinahesabika na hana siku nyingi

Mkuu wapo Masele wawili na majina yanafanana, huyo wa kitengo siyo huyo aliyepigwa chini na kamati kuu ya CCM,
Amepigwa chini ni uyo kazi aliyotumwa uko bunge la Africa hajaifanya
Ef9gF0OX0AE8JeF.jpeg
 
Bado watu mna complicate vitu sana, hakuna haja ya kutumia deep web au dark web, VPN is just enough kuweza kuwapoteza watu.

Shida watu wamepoteza focus wanadhani anayetakiwa kuwa hacked ni kigogo2014 while the hardest thing hapo ni kupenetrate au kuhack mtandao wa Twitter ndo upate taarifa za kigogo ambaye pia anaweza akawa ametumia fake email and everything, on top of that akawa ana access kwa kupitia vpn.

Just to be short, the Government can not hack Twitter and if that is the case kumpata huyu mtu ni haiwezekani.
Sure mkuu ..na twitwer haiwez kukubali kupoteza credibility yake na kushusha thamani ya hisa zake kisa mtu mmoja tu anaeitwa kigogo akamatwe...na Nord vpn tu inatosha kuwadrive watu crazy kuhusu location ya muhusika....lakini pia uyu kigogo mi sipendi afe ingawa njia nzuri ya kumkamata ni kupitia informers wake tu...yani mitego yote itegwe apatikane mole tu ndani ya idara...nakwambia ata iwe miez sita wataona njia.....kudukua ni ngumu sanaaa
 
Aisee hii ni hatari kubwa kama nyaraka muhimu na za siri zinavuja na Kuanikwa hadharan hiv kweli,serikali inathibitisha haiwezi kabisa kuzuia hizi mambo za kigogo,idara inaonekana inafanya kazi kwa mazoea kabisa,,ila kwa kweli sikuwahi kujua kabisa kwamba masele ni kitengo

Mbaya zaidi ukishakuwa penetration officer hutakiwi kufahamika maana hawa ndio watoa habari kuhusu taasisi/mamlaka fulani nimeona juu hapo kuna mmoja kaandika kamuona classmate wake kwenye orodha kama kuna figisu figisu ambazo zimewahi kutokea katika mamlaka aliyopo obviously lawama zitamuangukia jamaa...

Taasisi haina namna hapo nikuwabadilishia kazi.
 
Sure mkuu ..na twitwer haiwez kukubali kupoteza credibility yake na kushusha thamani ya hisa zake kisa mtu mmoja tu anaeitwa kigogo akamatwe...na Nord vpn tu inatosha kuwadrive watu crazy kuhusu location ya muhusika....lakini pia uyu kigogo mi sipendi afe ingawa njia nzuri ya kumkamata ni kupitia informers wake tu...yani mitego yote itegwe apatikane mole tu ndani ya idara...nakwambia ata iwe miez sita wataona njia.....kudukua ni ngumu sanaaa

Bado ni ngumu kumkamata...
 
Nimepita kwenye social media moja nimekuta huyu jamaa anayeitwa Kigogo anatafutwa na waziri Kangi Lugola.

Jamaa amefanya tukio gani hilo la balaa mpaka amemkuna mheshimiwa waziri?

---
Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola, amesema kuwa hivi karibuni Jeshi la Polisi litamtia nguvuni mtu anayejiita kigogo kupitia ukurasa wa Twitter.

Ametoa kauli hiyo leo Novemba 2, 2019 katika mkutano na wanahabari wakati akitoa tathimini ya hali ya usalama hapa nchini kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambapo amesema kuwa muda si mrefu polisi watamtia nguvuni mtu huyo.

"Kalenda inazo tarehe, utahesabu mwezi mfupi na mrefu, nataka niwaambie kwa kifupi siku za huyo Kigogo zinahesabika na hana siku nyingi", amesema Waziri Lugola.
Kangi chali #kigoho2014 bado yupo. Akiba ya maneno imemgharimu Kangi.
 
Sure mkuu ..na twitwer haiwez kukubali kupoteza credibility yake na kushusha thamani ya hisa zake kisa mtu mmoja tu anaeitwa kigogo akamatwe...na Nord vpn tu inatosha kuwadrive watu crazy kuhusu location ya muhusika....lakini pia uyu kigogo mi sipendi afe ingawa njia nzuri ya kumkamata ni kupitia informers wake tu...yani mitego yote itegwe apatikane mole tu ndani ya idara...nakwambia ata iwe miez sita wataona njia.....kudukua ni ngumu sanaaa
Yeah hapo cha msingi na mbolea ni kutafuta mole, otherwise hakuna kingine watakachofanikisha.

Ila tatizo linaonekana hata wanaomtumia taarifa pia hawamjui na wanatuma kwa fake identity kama njia ya ku whistle blow.

Bado naona kuna kazi ngumu sana ya kumpata huyu mtu. Hata kama ni mie nina classified documents siwezi mtumia kwa known identity.
 
Akitutabiria kukatwa mgombea wetu sijui kama tutampenda tena
 
Back
Top Bottom