Serikali / Simba mkimalizana na AS Vita Shughulikeni na Zahera

muuache kiherehere nyie maboya wa simba hakuna hela yenu inayomlipa Zahera ,nisisi Yanga chama kubwa tunaomlipa na ndiyo tumempa uhuru huo

Mnamlipa kwa hela gani mliyokua nayo, ombaomba nyinyi?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Pumbavu kweli,kwani Simba ni timu ya taifa,huu ndo umbumbumbu wenyewe
 
Propaganda za kipumbavu na kisingizio cha kukimbia ukweli kwamba timu zetu mbovu utendaji mbovu kila siku tuna tafuta sababu za kipumbazu ili kuficha maovu yanayo endelea (yaliyomo yamo na kama yalikuwepo basi yata kuwepo).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe jamaa ni mbumbumbu ulieshikiwa akili na Haji Manara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…