Serikali / Simba mkimalizana na AS Vita Shughulikeni na Zahera

Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.

Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.

Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Tatizo ushabiki umezidi mno kiasi kwamba tunataka tuendeshwe na hisia zetu kuliko sheria na kanuni zilizopo.Kama kuna mkataba wa kimataifa unaozuia kufanyika yale aliyoyafanya Zahera moja kwa moja he is guilty. lakini kama hakuna hiyo hatua hizo unazozisema haziwezekani. sanasana ninaloliona hapa ni kukosekana weledi kwenye mambo ya kuendesha na kusimamia soka. Msemaji wa Simba anaweza akawa kamchonganisha Zahera na baadhi ya wapenzi wa soka hapa nchini bila sababu yoyote kitu ambacho kitampa wakati mgumu kufanya kazi TZ. Ukisikiliza maelezo yake kwa kweli kibinadamu tu acha sheria hana kosa. na kama kuna kanuni itamruhusu kulalamika kwenye vyombo vya kuendesha soka kitaifa na kimataifa, msemaji wa Simba anaweza kukumbana na wakati mgumu sana
 
Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.

Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.

Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Komea la chuma ina maana Simba mmepata agenda ya kujishikiza endapo mkifungwa si ndio. Zahera amesema yy Ni mkongo man hawez kuwa mzalendo Tanzania wakat Ni mkongo ambaye pia Ni kocha wa Timu ya Taifa ya kongo,na Timu hiyo ya Vita inawachezaji wake wa Timu ya Taifa.halafu Kocha wa Club ya Vita Ni msaidizi wa Zahera timu ya Taifa Congo.Ndo maana amemuita Manara mpumbuvu wakati anachodai hakina uhusiano na matokeo uwanjani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.

Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.

Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
C65A356D-89C1-4B12-A097-5A8987752F4E.jpeg

Kama ni Usaliti ulianza hapa siku Aliyekuwa Kocha wa Simba MASOUD DJUMA na Kiungo wa Simba HARUNA NIYONZIMA walipoenda hoteli waliyofikia RAYON Sports ya Rwanda siku wamekuja kucheza na Yanga mechi ya Kombe la Shirikisho...Yanga tuliona kitu cha kawaida tu lakini kwa sababu ya ulimbukeni wenu Simba na umbumbumbu pamoja na kushikwa akili na Haji Manara mnamgeuza Zahera agenda badala ya kuzungumzia mechi yenu...Mbona hamkulikemea hilo na mkakaa kimya..Pathetic
 
Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.

Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.

Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
watu wa aina yako mnaweza sababisha tuonekane WaTanzania wote hatujielewi
 
Yaani Mama anaaga anakwenda kijijini kwa Bibi anaacha watoto na njaa. Kesho mnamuona kaamkia kwa Jirani hapo mnaona sawa tu. Huo ni umalaya. Zahera afukuzwe nchni ni MALAYA kwa soka la Taifa
 
Zahera amepewa kiki tu ,alishindwa kuisaidia Yanga ,itakua Vita?
 
Tunampokonya working permit mpuuzi huyu
Wewe ni mpumbavu mmoja hivi! Kutwa kucha unashinda mitandaoni kuitukana serikali leo unageuka na kusema Zahera atafutiwa vibali! Atafutiwa na nani ? Serikali gani unayoamini inaweza kukusikiliza wewe taahira? Leo ndo umeijiua serikali ipo? Mbona kwenye mambo ya maana unapingana na kuitusi hiyo serikali unayotaka ifute vibali vya mtu asiye na hatia? Au ulikuwa unaongea wakati umepakatwa?

By the way serikali inakutafuta jaribu kujitokeza uone

Naomba povu lako nifulie boxer
 
Back
Top Bottom