Hatuna ugomvi na kusalimiana ila Zahara amefanya ziada ...View attachment 1046776
Kama ni Usaliti ulianza hapa siku Aliyekuwa Kocha wa Simba MASOUD DJUMA na Kiungo wa Simba HARUNA NIYONZIMA walipoenda hoteli waliyofikia RAYON Sports ya Rwanda siku wamekuja kucheza na Yanga mechi ya Kombe la Shirikisho...Yanga tuliona kitu cha kawaida tu lakini kwa sababu ya ulimbukeni wenu Simba na umbumbumbu pamoja na kushikwa akili na Haji Manara mnamgeuza Zahera agenda badala ya kuzungumzia mechi yenu...Mbona hamkulikemea hilo na mkakaa kimya..Pathetic
View attachment 1046776View attachment 1046776View attachment 1046776
Hivi una uhakika Zahera amefanya hayo anayodaiwa kufanya ama umeziamini porojo za Haji Manara?Huyu ameamua kusaliti watanzania waliomweka hapa nchini. Tunaweza wasamehe watanzania ambao ni yanga wanaoisaidia AS Vita lakini hatuwezi samehe mkongo anayekula pesa za Watanzania anayewasaidia AS Vita.
Hata ingetokea kocha wa simba akasema aisaidie team ya nchi yake il hali anaishi tanzania anatumia kodi za watanzania angeshughulikiwa tu.
Zahera amevuka mipaka....nadhani aoneshwe mwisho wa mipaka yake ni wapi. Otherwise tukizidi kucheka na nyani tutavuna mabua. Sheria ichukue mkondo wake katika hili.
Tuweke ushabiki pembeni, kiproffessional Zahera kakosea, uwezi ukaacha majukumu ya teama yako ukaenda kwenye jukumu lingine hata kama ni la kitaifa, ni muajiriwa wa Yanga hivyo alitakiwa awe na teama yake pale Iringa, labda kama anaumwa, huwezi kuona kitu kama hicho kinatokea kwingine dunianiHivi mashabiki wa simba akili mmekalia au vipi? Hivi Zahera kosa lake nn? Suala la kuonana na ndugu zake ni kosa? Mbona bado mna mambo ya kizamani sana. Au zahera anacheza? Shida yenu mnaamini sana uchawi sasa mnadhani zahera atavujisha siri.
Mechi za yanga mbona nyi mnaweka mikono yenu na hatusemi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kosa la Zahera ni kuacha team ikiwa kwenye mechi ngumu na muhimu ya team yake, na kwenda kufanya mambo mengine, sio sawa kabisa tuweke ushabiki pembeni tujadiri mpira, mechi za team za taifa na week ijayo na hata wachezaji wengine hawajaripoti kwenye team za taifa, alikuwa na uwezo wa kuondoka baada ya team yake kuchezaYaani mkuu mie mwenyewe nmejiuliza sana,Zahera kosa lake n lipi?,Sijui watu wengine hua wanafkria kwa kutumia nn!
Sent from Nokia 7 Plus
Mtoa mada ni MBUMBUMBU, POPOMA, ZWAZWA, KIAZI, BWEGE, LOFA, SHUDU.... Huwezi tuletea ujinga wa kiwango hiki.. Post kama hizi zilifaa kule kwa mashoga zako INSTA.. Hapa leta fact tujadili tujue ipi pumba ipi mchele..
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mtawajua wananchi ni nani,Historia inaonyesha hakuna aliyewahi kuizingua Yanga akabaki salama,hata hawa wa sasa hivi muda utaongeaTunampokonya working permit mpuuzi huyu