3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,884
Sioni tatizo la Zahera kama mwanasport ninaejitambua... Mpira ukiwashinda tafuteni kazi nyingine.
Huyo Zahera atacheza?
Namba ngapi?
Benchi la ufundi atakuwepo?
Mbona tarh 16 Tulimpiga akiwepo...
Tunaenda kushinda kama SIMBA na Tunaweza kufungwa vilevile.
ACHENI UOGA
Huyo Zahera atacheza?
Namba ngapi?
Benchi la ufundi atakuwepo?
Mbona tarh 16 Tulimpiga akiwepo...
Tunaenda kushinda kama SIMBA na Tunaweza kufungwa vilevile.
ACHENI UOGA